Tetesi: Madiwani wa Chadema jimbo la Mtama kujiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa

Sawasawa.... Siasa za dunia ya tatu....kadi
 
CCM inafyeka misitu yote,chadema ndio mwisho wa kuwa chama kikuu cha upinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuta Mwambe ndie kaanzisha hii thread ili Ccm ione ana kubalika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao maelfu wamerudisha kwa Nani hizo bendera wakati Kiongozi wa kuwakabidhi kadi za CCM bado hajawakabidhi?Inamaana waliandamana kwenda ofisi za chadema kwanza kwenda kurudisha kadi na bendera halafu wataandamana tena kwenda ofisi za CCM kwenda kupewa kadi za CCM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko Njiani Kuunga Juhudi Mkono, Natafuta Location
😄😅😃🤣😂😁😁
 
Ndio maana yake!
 
Hawa Maelfu wametoka wapi tena? Si mlisema CHADEMA ni chama cha Wachaga? Na kwamba CCM inakubalika sana na INA wanachama milioni zaidi ya 40? Sasa haya maelfu ni yepi tena?? Ukiwa muongo usiwe msahaulifu!!
Kitochi Original
 
Hawa Maelfu wametoka wapi tena? Si mlisema CHADEMA ni chama cha Wachaga? Na kwamba CCM inakubalika sana na INA wanachama milioni zaidi ya 40? Sasa haya maelfu ni yepi tena?? Ukiwa muongo usiwe msahaulifu!!

Kitochi Original
Kwani maelfu ndio mamilioni meku?!
 
Halafu ukijua kuwa ni kuokoteza okoteza haonyeshi mahusiano kati ya jimbo LA Mtama na Ndanda.
Inaonyesha hajui Ndanda iko wapi na Mtama iko wapi! Hao ndio "ma intellectual" wa Lumumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwiga meku hapa tunazungumzia Chadema kanda ya kusini ambalo mwenyekiti wake ni Suleiman Methew wa Wekundu wa msimbazi na mbunge wake pekee alikuwa mh Cecil Mwambe wa CCM!
 
Tundu Lisu yeye leo yuko Ujerumani (nimemsikia DW radio) anapiga misele eti kukutana na wabia wa maendeleo wa Tanzania na kupaza sauti juu ya democracy na nini na nini.....muongo mkubwa anatafuta fedha za kujikimu huko. Eee bhana si umepona jamaniiiii !!! Rudi nyumbani uokoe jahazi CDM inakimbiwa na wewe ni makamu mwenyekiti ! Hao wazungu sio wapumbavu mnavyo fikiria unayo waambia wao wanafahamu maradufu yako ! Long term vision yao ni miaka hata hamsini, wanaiona TZ kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…