Baada ya aliyekuwa Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe kuhamia CCM inaelezwa kuwa madiwani wawili wa jimbo la Mtama watajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa.
Taarifa zinadai kuwa huko Ndanda maelfu ya wana-Chadema wamerejesha kadi na bendera za chama hicho na wanasubiri kukabidhiwa kadi za CCM na kigogo mmoja wa chama atakayezuru Ndanda na Masasi hivi karibuni.
Maendeleo hayana vyama!
Haijalishi manka!Kwako wewe hayo ndio maendeleo, pole sana sijakujua jinsia Kama Me au Ke,!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa kukusaidia umbulula wako Cecil anatoka Ndanda, Mathew aligombea na Mh Nape Mtama, na Nape anajua alipataje ubunge kwa vile mna kutana Lumumba muulize ana mfahamu vipi Mathew!! Acha kutuambia Cecil alikuwa mbunge wa Mtama.. Hamjui hata mna changia nini hapa...Mbwiga meku hapa tunazungumzia Chadema kanda ya kusini ambalo mwenyekiti wake ni Suleiman Methew wa Wekundu wa msimbazi na mbunge wake pekee alikuwa mh Cecil Mwambe wa CCM!
Halafu ukijua kuwa ni kuokoteza okoteza haonyeshi mahusiano kati ya jimbo LA Mtama na Ndanda.
Inaonyesha hajui Ndanda iko wapi na Mtama iko wapi! Hao ndio "ma intellectual" wa Lumumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mnasubiri kesho? mpokeeni leo usiku...tumechoka na mambo ya kijinga katika taifa hili. Ni ajabu awamu hiyo tumeongozwa na washamba wamegeuza mambo ya kuliumiza taifa kuwa mambo ya kushangilia. Hivi pesa za wananchi zinazochezewa kupitia huu uhuni wa kishamba unawaumiza wananchi, lakini wananchi hao hao wanachelea. Eti wanapambana na rushwa na ufisadi huku wakicheza michezo ya rushwa na ufisadi. Hivi hii nchi nani ameiloga?Hapa lumumba kuna mbunge mwingine atapokelewa kesho!
DanganywaHao maelfu walikuja na Lowassa!
Mbwiga meku hapa tunazungumzia Chadema kanda ya kusini ambalo mwenyekiti wake ni Suleiman Methew wa Wekundu wa msimbazi na mbunge wake pekee alikuwa mh Cecil Mwambe wa CCM!
Akili zao ziliishachotwa vichwa vimebaki empty!Sasa kwa kukusaidia umbulula wako Cecil anatoka Ndanda, Mathew aligombea na Mh Nape Mtama, na Nape anajua alipataje ubunge kwa vile mna kutana Lumumba muulize ana mfahamu vipi Mathew!! Acha kutuambia Cecil alikuwa mbunge wa Mtama.. Hamjui hata mna changia nini hapa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlisema Hata mamia hatufiki
Bwashee Jimbo la Mtama lipo Lindi na Ndanda ni Mtwara.Inaonekana hata jimbo la mtama lipo wapi na jimbo la ndanda lipo wapi, na hakika huyajui hayo na huna ABC za hayo majimbo
In God we Trust
Hapa lumumba kuna mbunge mwingine atapokelewa kesho!
Watakutana na wakongwe wa CCM waliojipanga kugombea nafasi hizo. Yaani wataishi kama watoto wa kambo mpaka uchaguzi uishe.
WEWE MPUUZI TUDuuh!
Bwashee Jimbo la Mtama lipo Lindi na Ndanda ni Mtwara.
Wakati wa ziara ya Rais Magufuli Mwambe tulikuwa naye kuanzia Lindi mjini,, Ndanda hadi Masasi na akatuonyesha kijijini kwenu mkuu Mmawia!
Wapi nimesema Cecil Mwambe alikuwa mbunge wa Mtama.Sasa kwa kukusaidia umbulula wako Cecil anatoka Ndanda, Mathew aligombea na Mh Nape Mtama, na Nape anajua alipataje ubunge kwa vile mna kutana Lumumba muulize ana mfahamu vipi Mathew!! Acha kutuambia Cecil alikuwa mbunge wa Mtama.. Hamjui hata mna changia nini hapa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kule ndio kwenu nitashindwaje kukuelewa chinga?!Ndiyo nakwambia hujui ABC za hayo majimbo, sasa sijui unashindwa kuelewa nini hapo?
In God we Trust
Wewe kule ndio kwenu nitashindwaje kukuelewa chinga?!
Hahahaaaa....... Anaileta Marekani Kigamboni, tatizo liko wapi bwashee?Siyo habari ndugu, habari ya mujini kwa sasa ni Bashite kupigwa ban ya kwenda kutafuta mtoto Marekani
In God we Trust
Wapi nimesema Cecil Mwambe alikuwa mbunge wa Mtama.
Cecil Mwambe namfahamu hadi kijijini kwake na baba yake alikuwa ni daktari pale Ndanda na shangazi yake ndiye huyu mama Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dsm, Kate Kamba.
Suleiman Methew alikuwa beki wetu nambari 5 pale Yanga baadae akaenda Simba na baada ya kustaafu soka aliajiriwa na Kassimu Dewji aliyekuwa Katibu mkuu wa Simba katika mgahawa wake wa Food World pale Posta na kazi yake kubwa ilikuwa ni kukaanga Sambusa ( samosa)
Kuna kipindi Dr Mwakyembe alitimua wapiga dili wa Clearing & Forwading agencies pale mjini so pale Food world biashara ikaporomoka hivyo mkaanga sambusa Methew akarudi kijijini kupalilia mikorosho!