johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwanza niwakumbushe ninyi CCM Iringa ndio mliogoma kumdhamini Dr Magufuli mwaka 2015 alipokuja kuomba udhamini ili agombee urais.
Pili, ni ninyi CCM Iringa mliogoma kumpa ushirikiano mchungaji Msigwa ilhali mnajua kabisa Iringa mjini na pale white house pana " ukaribu" sana.
Tatu, kila mtu anajua barabara zote na madaraja ya vijijini yameharibiwa vibaya na mvua na ninyi madiwani mmemsusia Kasesela na Oliver Moto wayafuatilie kana kwamba wao ndio walitoa tenda za ujenzi.
Na nne, kila mtu anajua Iringa inaongoza kwa wingi wa vilabu vya pombe za kienyeji ikifuatiwa na Moshi hivyo ni vyema ninyi madiwani mkatumia muda mwingi kuelimisha jamii juu ya janga la Corona kuliko kumzongazonga meya Kimbe.
Mwisho, ni ulevi wenu wa komoni na ulanzi uliowafanya mlale usingizi na sasa mnakumbuka shuka ya kumng'oa Meya wakati kumeshakucha. Acheni kutafuta kiki za chekechea.
Maendeleo hayana vyama!.