LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Hapo waandishi Wa happy ndo wataruhusiwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa Happi na Kasesela ni marafiki wa mchungaji Msigwa baada ya lile tukio la mchungaji Msigwa kutolewa jela na Polepole!Hapo waandishi Wa happy ndo wataruhusiwa...
Asante sana.Mkuu hongera nimekufuatilia Star tv!
Hawajatumwa na yoyote .......ni nguvu ya mkangafu inayowasumbua!
Hahahaaaa........Mtogwa, Mkangafu then siku ya tatu unakuwa Mdindifu!Mkangafu aka gari bovu lililojichokea unamaanisha chama letu CCM.
Ee na mimi naugaNauga mkono hoja.
Sent using Tume huru
Kwanza niwakumbushe ninyi CCM Iringa ndio mliogoma kumdhamini Dr Magufuli mwaka 2015 alipokuja kuomba udhamini ili agombee urais.
Pili, ni ninyi CCM Iringa mliogoma kumpa ushirikiano mchungaji Msigwa ilhali mnajua kabisa Iringa mjini na pale white house pana " ukaribu" sana.
Tatu, kila mtu anajua barabara zote na madaraja ya vijijini yameharibiwa vibaya na mvua na ninyi madiwani mmemsusia Kasesela na Oliver Moto wayafuatilie kana kwamba wao ndio walitoa tenda za ujenzi.
Na nne, kila mtu anajua Iringa inaongoza kwa wingi wa vilabu vya pombe za kienyeji ikifuatiwa na Moshi hivyo ni vyema ninyi madiwani mkatumia muda mwingi kuelimisha jamii juu ya janga la Corona kuliko kumzongazonga meya Kimbe.
Mwisho, ni ulevi wenu wa komoni na ulanzi uliowafanya mlale usingizi na sasa mnakumbuka shuka ya kumng'oa Meya wakati kumeshakucha. Acheni kutafuta kiki za chekechea.
Maendeleo hayana vyama!.
Bwashee leo umeamka na campari kichwani?
Wikendi hii naona zimerudi au umenyimwa mgao ndugu.
Amina bwashee!Namshukuru sana mungu kwa kuondoa ukungu kwenye akili zako na sasa zipo kwenye hali yake na unajitambua. Hongera sana
In God we Trust
Naona kikao kimeitishwa tena Leo, sijajua kama madiwani Wa chadema wamesusia tena Leo au lah...
Siasa siyo uadui bwashee!Tumpongeze badala ya kumponda
In God we Trust
Hongera sanaKatika hili mimi niko upande wa Meya.
Hii ni kwaresma sitakagi ujinga!
Wewe ndugu yangu unashauri au unalaumu.!!??..'Tuvagaya sida'....tehtehtehKwanza niwakumbushe ninyi CCM Iringa ndio mliogoma kumdhamini Dr Magufuli mwaka 2015 alipokuja kuomba udhamini ili agombee urais.
Pili, ni ninyi CCM Iringa mliogoma kumpa ushirikiano mchungaji Msigwa ilhali mnajua kabisa Iringa mjini na pale white house pana " ukaribu" sana.
Tatu, kila mtu anajua barabara zote na madaraja ya vijijini yameharibiwa vibaya na mvua na ninyi madiwani mmemsusia Kasesela na Oliver Moto wayafuatilie kana kwamba wao ndio walitoa tenda za ujenzi.
Na nne, kila mtu anajua Iringa inaongoza kwa wingi wa vilabu vya pombe za kienyeji ikifuatiwa na Moshi hivyo ni vyema ninyi madiwani mkatumia muda mwingi kuelimisha jamii juu ya janga la Corona kuliko kumzongazonga meya Kimbe.
Mwisho, ni ulevi wenu wa komoni na ulanzi uliowafanya mlale usingizi na sasa mnakumbuka shuka ya kumng'oa Meya wakati kumeshakucha. Acheni kutafuta kiki za chekechea.
Maendeleo hayana vyama!.
Udesi wako!........hahahaaaa!Wewe ndugu yangu unashauri au unalaumu.!!??..'Tunavagaya sida'....tehtehteh
Tuvagaya sida ...hahahaUdesi wako!........hahahaaaa!
Kwanza niwakumbushe ninyi CCM Iringa ndio mliogoma kumdhamini Dr Magufuli mwaka 2015 alipokuja kuomba udhamini ili agombee urais.
Pili, ni ninyi CCM Iringa mliogoma kumpa ushirikiano mchungaji Msigwa ilhali mnajua kabisa Iringa mjini na pale white house pana " ukaribu" sana.
Tatu, kila mtu anajua barabara zote na madaraja ya vijijini yameharibiwa vibaya na mvua na ninyi madiwani mmemsusia Kasesela na Oliver Moto wayafuatilie kana kwamba wao ndio walitoa tenda za ujenzi.
Na nne, kila mtu anajua Iringa inaongoza kwa wingi wa vilabu vya pombe za kienyeji ikifuatiwa na Moshi hivyo ni vyema ninyi madiwani mkatumia muda mwingi kuelimisha jamii juu ya janga la Corona kuliko kumzongazonga meya Kimbe.
Mwisho, ni ulevi wenu wa komoni na ulanzi uliowafanya mlale usingizi na sasa mnakumbuka shuka ya kumng'oa Meya wakati kumeshakucha. Acheni kutafuta kiki za chekechea.
Maendeleo hayana vyama!.
[/QUOTE
Naona umebadili gia angani bwashee!
Kwani wamemg'oa kwa kashafa gani? Usije ukawa unatetea upumbafuKwanza niwakumbushe ninyi CCM Iringa ndio mliogoma kumdhamini Dr Magufuli mwaka 2015 alipokuja kuomba udhamini ili agombee urais.
Pili, ni ninyi CCM Iringa mliogoma kumpa ushirikiano mchungaji Msigwa ilhali mnajua kabisa Iringa mjini na pale white house pana " ukaribu" sana.
Tatu, kila mtu anajua barabara zote na madaraja ya vijijini yameharibiwa vibaya na mvua na ninyi madiwani mmemsusia Kasesela na Oliver Moto wayafuatilie kana kwamba wao ndio walitoa tenda za ujenzi.
Na nne, kila mtu anajua Iringa inaongoza kwa wingi wa vilabu vya pombe za kienyeji ikifuatiwa na Moshi hivyo ni vyema ninyi madiwani mkatumia muda mwingi kuelimisha jamii juu ya janga la Corona kuliko kumzongazonga meya Kimbe.
Mwisho, ni ulevi wenu wa komoni na ulanzi uliowafanya mlale usingizi na sasa mnakumbuka shuka ya kumng'oa Meya wakati kumeshakucha. Acheni kutafuta kiki za chekechea.
Maendeleo hayana vyama!.
Mkangafu ni kitu gani, sio gari bovu?Hawajatumwa na yoyote .......ni nguvu ya mkangafu inayowasumbua!
Siyo mzazi wako ndiyo anawatuma??