Wakuye 724
New Member
- Feb 2, 2023
- 3
- 0
Madiwani wa Moshi mkoani Kilimanjaro wanatarajia kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo wilayani humo Jumamosi ya Tarehe 11 Februari 2023.
Akizungumza kwenye kikao maalum cha Baraza la Madiwani cha kupitisha mapendekezo ya mwaka 2023-2024, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Moshi Moris Makoi alisema, “Tumeamua sisi kama madiwani kuvitembelea na kuvitangaza vivutio vyetu vya ndani na Kauli Mbiu ni "Utalii wa Ndani Tuanze na Sisi Wenyewe".
Makoi aliongeza kusema kabla ya kupanga ziara hiyo ya siku moja walipendeza kamati ambayo ilifuatilia na kuvibaini vivutio vya utalii kasha kuwasilisha katika vikao vya halmashauri.....