kumbe huwaamini wanasheria wa tanzania..Naibu meya wa Arusha Comrade Mallah, na Diwani Bayo, hawa ndio wanamapinduzi wa Arusha wapenda amani.<br />
Nimejitolea nitawatafutia mawakili watatu hata kutoka nje ya nchi mpaka wapate haki yao za kikatiba, ingawa najua kabisa hiyo kesi inaweza kuchuwa miaka minne mpaka mitano
Ni jopo la wanasheria kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi, ndio wataisamimia kesi hiyo mpaka mwisho waleteni kina Marando wenu na yule Wakili wenu diwani. Wapambane kwenye uwanja wa taaluma ya sheriakumbe huwaamini wanasheria wa tanzania..
Tunaomba muendelee kutujuza kwani sisi washitakiwa namba moja tunaisikilizia hiyo kesi humu jamvini.katika mazunguzo lema kauzwa swali kuwa kwanini chadema kina itwa ni chama cha wahuni..jibu lake chadema ni chama cha wanyonye waliopoteza matumaini hivyo vijana kwa wazee wasio na kazi au wale wa hali ya chini ni chadema ndiyo hao wanao itwa wahuni akatoa mfano libya kuwa wakati wanaanza harakati waliitwa panya? wavuta unga lakini leo gadafi anaishi shmoni akatoa mfano kuwa yeye siyo rahisi kumkuta anaongea na benson na matajiri wengine ila mara nyingi utakuta anongea na wtu chini..
Labda ungetutafsiria kwa Kiswahili ulichotaka kumaanisha hapa!maskini madiwani waliochaguliwa kwa maslahi ya Wananchi sasa wanageuka maslahi ya CHAMA,nasema poleni sababu wanashindwa kujua kwamba sasa kuna mashabiki wengi wa chadema kuliko wanachama,kwa hiyo kila linalokuwa against na msimamo wa Mbowe na Slaa kwao ni baya bila hata kuuliza,wala kujua.maskini ndugu zangu,watanzania wenzangu,wenye mapenzi mema na wanaarusha,wasiopenda kuona damu ya shabiki inamwagika wakati familia zao zinakula raha....Mugnu yu mwema ...kwenu.....mulikuwa wapendwa kwao,mlipowauliza sababu munageuka maadui...Bado moto mkuu unakuja,,,,,CCM ndio Baba na Mama wa SIASA. karibu tufuate utaratibu na kanuni za nchi.
Taratibu hivi kama huna kitu cha kuandika lazima ulete upupu.
kasome Republic Vs Reverend Mtikila. naamini judgement yake itakutoa upupu kichwani mwako.Naibu meya wa Arusha Comrade Mallah, na Diwani Bayo, hawa ndio wanamapinduzi wa Arusha wapenda amani.
Nimejitolea nitawatafutia mawakili watatu hata kutoka nje ya nchi mpaka wapate haki yao za kikatiba, ingawa najua kabisa hiyo kesi inaweza kuchuwa miaka minne mpaka mitano
Crashwise=Nono.Ajira ya ushabiki sijawahi kuona haaaa haaa aaa.Hivi kweli wakiitwa waandishi wa habari C=N nao wamo ?.
Fanya kazi blah blah zitakusaidia nini kesi iko mahakamani Mbowe,Lema na wakili wapo kazini.
Crashwise ana matatizo kweli kweli mwenzake Paka Jimmy anapiga mzigo muda huu ikifika jioni anatandika mvinyo kwa fedha zake.Sitaki kukutana na Crashwise lazima atakuwa mpiga mizinga aka Matonya.
Crashwise,
hivi unafanya kazi kweli au ndio unasubiri CDM wachukuwe nchi upewe ukuu wa wilaya wa Simanjiro
<br />kesi itasomwa saa sita..
mkuu Ngongo, asante sana kwa cheo chako ulichonipatia lakini sikihitaji...<font size="3"><span style="font-family: lucida console"><b>CDM ina wadhamini wake wanajukana mpaka kwa msajili wa vyama wewe ni katibu wa mbunge akikasirika anakuwanga barau kama alivyomfanyia Mgonja.</b></span></font>
Mimi humu JF, napita kama sina kazi ukitaka kujua hilo anagalia muda niliojiunga na posts zangu.Mbona we kila siku uko huku kupinga waTZ wa ukweli au mwajiriwa wa Nape? tufahamishe bwana.
kwenu mtu mzima maana yake nini? kama unaimanisha umri basi hata wazee wapo tena wengi..swala la kazi yangu haikuhu kwasababu nakula kwangu nalala kwangu na kwa kumbukumbu zangu sikumbuki familia yangu kulala njaa..ila haki sina na umatonya umezidi kwasababu ya serikali legelege..Nakubaliana na wewe, sitaki kuamini kama kweli mtu mzima mwenye majukumu anaweza akapoteza muda wake kwenda kushangaashangaa mahakamani, alafu tutailaumu serikali kwa umaskini wetu, shame.