maskini madiwani waliochaguliwa kwa maslahi ya Wananchi sasa wanageuka maslahi ya CHAMA,nasema poleni sababu wanashindwa kujua kwamba sasa kuna mashabiki wengi wa chadema kuliko wanachama,kwa hiyo kila linalokuwa against na msimamo wa Mbowe na Slaa kwao ni baya bila hata kuuliza,wala kujua.maskini ndugu zangu,watanzania wenzangu,wenye mapenzi mema na wanaarusha,wasiopenda kuona damu ya shabiki inamwagika wakati familia zao zinakula raha....Mugnu yu mwema ...kwenu.....mulikuwa wapendwa kwao,mlipowauliza sababu munageuka maadui...Bado moto mkuu unakuja,,,,,CCM ndio Baba na Mama wa SIASA. karibu tufuate utaratibu na kanuni za nchi.