Sasa kama hawa viongozi mlokuwa mkiwaita Makamanda wananunuliwa tungewapaje hii nchi aiseepesa nyingi ya walipakodi inatumika kuwanunua malofa.
Ndugu yangu umeishiwa hoja mpaka unatia aibu.Sio kwa Arusha. Siasa za kishenzi za jiwe ndio sababu fullstop.
Wanahama viongozi tuu lkn idadi ya wapiga kura inapungua.
Ni vizuri hata fujo zinapungua
Ndugu yangu umeishiwa hoja mpaka unatia aibu.
Kwa CCM hii ilivyo na haina tofauti na club ya mumiani, hata aje Kadnali Pengo na kuniambia Yesu amejiunga na CCM bado sitakwenda huko acha kunitajia Mbowe tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sijaona watu wenye mioyo migumu Kama wewe...kwa spidi ya kuhama unaweza stukia hata Mbowe akahamia ccm ukabaki pekeyako. Viongozi wooote waandamizi wenu wanaondoka wanaenda kumuunga mkono Magufuli. Juzi tuu Prof Safari kawatoka..angalia usije Baki mwemyewe
😂😂😂😂😂 Sijaona watu wenye mioyo migumu Kama wewe...kwa spidi ya kuhama unaweza stukia hata Mbowe akahamia ccm ukabaki pekeyako. Viongozi wooote waandamizi wenu wanaondoka wanaenda kumuunga mkono Magufuli. Juzi tuu Prof Safari kawatoka..angalia usije Baki mwemyeweNashangaa sana CCM isivyo tumia hata chembe ya akili!
Unashangilia kumrubuni mbunge mmoja akiache chama chake ajiunge na chako kwa mbwembwe, lakini wakati huo huo unapoteza imani ya wanachama 1000 wapigakura na wanakuacha kimya kimya!
Sasa Polepole furaha yake in kuona vichwa vya magazeti vya kumfurahisha kumbe chama kwa ndani kinaoza.
Chadema ni imara sana kwa sasa, hata Waziri mkuu mstaafu wanaweza kumnyima kura tena na ndio/hapana?
😂😂😂😂😂 Sijaona watu wenye mioyo migumu Kama wewe...kwa spidi ya kuhama unaweza stukia hata Mbowe akahamia ccm ukabaki pekeyako. Viongozi wooote waandamizi wenu wanaondoka wanaenda kumuunga mkono Magufuli. Juzi tuu Prof Safari kawatoka..angalia usije Baki mwemyewe
CHADEMA wahuni tu, mwenyekiti Mafioso. PM mwenye ulinzi wa dola alikimbia sumu, kisa kutaka nafasi ya Chama isiyoguswa.
Na si ajabu hujui kuwa hao viongozi ni sehemu ya hao wananchi. Hujui pia kuwa mwananchi wa kawaida anakuwa hajui mengi ya Chadema. Anapokuwa kiongozi ndio anaujua ukweli na uzandiki wa Chadema. Hapo ndio anabwaga manyanga. Hata wewe Tindo ukiwa kiongozi wa Chadema utakimbia tu, labda kama wewe ni MBOWE in pseudo name!!!
We utakuwa mwakilishi wa mashetani..ninawasiwasi Kama utakuwa raia wa Tanzania..sio kabisaKwa CCM hii ilivyo na haina tofauti na club ya mumiani, hata aje Kadnali Pengo na kuniambia Yesu amejiunga na CCM bado sitakwenda huko acha kunitajia Mbowe tuu
Hahahahah achana na uzandiki..na je CAG aliyesema Kuna ufisadi wa mabilioni kwenye chama hao unawaitaje jomba..Ni mpuuzi mmoja tu atakayetamka maneno ya kipuuzi kuwa Chadema kuna uzandiki. Nasema ni mwehu mmoja hivi
Utakua unaota wewe, hebu kasome vizuriHahahahah achana na uzandiki..na je CAG aliyesema Kuna ufisadi wa mabilioni kwenye chama hao unawaitaje jomba..
Hivi hamuoni aibu kutamka chademaa mbele ya watu, jomba si mumuulize wajameni hata Prof Safari au PM Sumaye, au Basi Kubenea au Basi Komu mujue undani wa chama chenu..shame....on yuuuNi mpuuzi mmoja tu atakayetamka maneno ya kipuuzi kuwa Chadema kuna uzandiki. Nasema ni mwehu mmoja hivi
Wale uliwaita wazandiki.au wehu.je CAG unamwitajeUtakua unaota wewe, hebu kasome vizuri
Hahahaha Dogo tulia wewe, hatuna haja ya kuwauliza hao, wewe pata picha tu ya uchaguzi serikali za mitaa! Tamko moja tu ambalo halizidi hata page moja, wananchi wote wakatii hadi wewe mwenyewe....Hivi hamuoni aibu kutamka chademaa mbele ya watu, jomba si mumuulize wajameni hata Prof Safari au PM Sumaye, au Basi Kubenea au Basi Komu mujue undani wa chama chenu..shame....on yuuu
Mchagulie jina weweWale uliwaita wazandiki.au wehu.je CAG unamwitaje
Nilidhani wewe ni mchadema kumbe uselemani Jafo!
Daaa jomba unajidanganya..waulize kwanza hao kabla hujakimbilia huko..Sasa unasema wametii kivipi wakati Kuna wanachama wenu wengine wamechukua nafasi zao Kama kawaida..hawakususia Kama chama kilivyosema..hao mtawafukuza uanachama au..unasema wananchi watii Nini Kama mlishasema mmegomea, Nani aje kituoni .au hujui maana ya kupita bila kupingwa..hahaaHahahaha Dogo tulia wewe, hatuna haja ya kuwauliza hao, wewe pata picha tu ya uchaguzi serikali za mitaa! Tamko moja tu ambalo halizidi hata page moja, wananchi wote wakatii hadi wewe mwenyewe....