sha classic
Member
- Feb 11, 2017
- 22
- 44
Kimbia hospitali harakaMke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumIVU yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka je hiyo ni dalili ya nini naombeni mnisaidie
Kabla hajamaliza bleed ni vizuri ukampima mimba ili ujue kama alishapata mimba au lah ili kuondoa utata otherwise ninawezekana wewe ulihisi au yeye alihisi ni siku hatari kumbe si hivyo unavyohisiMke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumIVU yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka je hiyo ni dalili ya nini naombeni mnisaidie
Mke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumIVU yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka je hiyo ni dalili ya nini naombeni mnisaidie