MADKATARI NISAIDIENI

MADKATARI NISAIDIENI

sha classic

Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
22
Reaction score
44
Mke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumIVU yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka je hiyo ni dalili ya nini naombeni mnisaidie
 
Kimbia hospitali haraka
 
Kabla hajamaliza bleed ni vizuri ukampima mimba ili ujue kama alishapata mimba au lah ili kuondoa utata otherwise ninawezekana wewe ulihisi au yeye alihisi ni siku hatari kumbe si hivyo unavyohisi
 
Mke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumIVU yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka je hiyo ni dalili ya nini naombeni mnisaidie

Najuta hata kuufungua huu ' Uzi ' kwani tayari sahani yangu ya Mayai na Soseji ukijumlisha na Chai yangu ya Maziwa viko mezani ila nimeshachefuka.
 
Back
Top Bottom