Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mkuu yatakushinda
Report ya makanikia imenirudisha harakajamani, wewe si ulihamia China ukatuaga kabisa hapa?
Report ya makanikia imenirudisha haraka
Ka! You are also beyond ordinary kwa hili.Solution ni kuvaa chupi nyeusi/brown.
Yakitokea na hapa basi ujue una nyota ya ndege kanga (you are beyond ordinary dirtiness)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chanzo cha hayo madoa hujatuambia ila anyway mimi nilishawahi ona chupi imeanikwa ina kitobo mim nadhan huyo alio anika solution yake ni nzur sehem yenye doa unaikata na kiwembe asanteni
For sure.Kukwepa pichu nyeupe ni dalili ya uchafu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sanamadoa ya nini? kuna kitu kinaotwa omo ya maji hebu tumia kama hujaanika chupi zako hata barabarani.chupi inawaka kuliko jua
Tusidanganyane kila rangi ina mahala pake,siwezi vaa chupi nyeupe kwenye linen nyeupe lazima itajichora ila nikivaa nyeusi wala hata haioneshi ni sawa na mdada unamkuta kavaa blouse nyeupe na bra nyeupe imejichoooora hadi keroHahahaha eti chupi nyeusi/brown....Zote hizo za nn;ukijua kufua wala hakuna tatizo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chanzo cha hayo madoa hujatuambia ila anyway mimi nilishawahi ona chupi imeanikwa ina kitobo mim nadhan huyo alio anika solution yake ni nzur sehem yenye doa unaikata na kiwembe asanteni
Mwanamke usafi/urembo...Hiyo ni dalili ya uchafu na uvivu!
Nikikutana na mwanamke kavaa chupi nyeusi hamu inaisha hapohapo.
Chupi yako ina madoa mkuu sura yako inaonyeshaMmmh noma sana
πππππππππππππππππChanzo cha hayo madoa hujatuambia ila anyway mimi nilishawahi ona chupi imeanikwa ina kitobo mim nadhan huyo alio anika solution yake ni nzur sehem yenye doa unaikata na kiwembe asanteni