Wengine inategemea na malezi na mahali tunapotoka, mi siwezi kuanika chupi watu au ndugu wa kiume waione, lazma niifunike na khanga au nisianike nje sababu sio uchafu ila naona sio sawaMbona mkifua chupi mnazificha?
Si ndio hapo, cha ajabu nini, kufua kuanika mambo yanaendelea...madoa ya nini? kuna kitu kinaotwa omo ya maji hebu tumia kama hujaanika chupi zako hata barabarani.chupi inawaka kuliko jua
Hilo tobo linasaidia ventilation pia.Chanzo cha hayo madoa hujatuambia ila anyway mimi nilishawahi ona chupi imeanikwa ina kitobo mim nadhan huyo alio anika solution yake ni nzur sehem yenye doa unaikata na kiwembe asanteni
mbona ile chupi ya beach uifuniki na kangaWengine inategemea na malezi na mahali tunapotoka, mi siwezi kuanika chupi watu au ndugu wa kiume waione, lazma niifunike na khanga au nisianike nje sababu sio uchafu ila naona sio sawa
Ujuaji nnyambona ile chupi ya beach uifuniki na kanga
mmmh hii lugha gani sijaelewa aisee mkuuUjuaji nnya