SI KWELI Madoa kwenye unyayo ni ishara ya kuwa na VVU?

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
🤣🤣🤣🤣🤣kila saa kabamia kanasisimuliwa hadi mifugo ikakimbilia sehemu ya msisimko
Sio wa kumuamini huyu anachangamsha kijiwe 😹😹

Dotto mwenye viu yake unaona anavyotumia nguvu kubwa kujitetea?
Huo ugonjwa hamna mtu anayejivunia nao hata kidogo…!!
 
Unafanya utafiti?eeh ni kwa nini nyayo zinakuwa na vidoti?
Ni malazi ya ngozi ambayo huwapata watu wale ambao kinga ya mwili imeshambuliwa pia fungus kwenye kucha
Unafanya utafiti?eeh ni kwa nini nyayo zinakuwa na vidoti?
Madoa kwenye unyayo yanaweza kutokana na fangasi, matatizo ya ngozi, athari za dawa
Katika hatua za juu za UKIMWI, baadhi ya magonjwa nadra ya ngozi yanaweza kusababisha mabadiliko ya rangi au vidonda.
 
Aaisee sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…