SI KWELI Madoa kwenye unyayo ni ishara ya kuwa na VVU?

SI KWELI Madoa kwenye unyayo ni ishara ya kuwa na VVU?

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1


1785488381145.png
 
Tunachokijua
Dkt. Sospeter Mathayo anaeleza kuwa Vidoti vyeusi kwenye unyayo vinaweza kutokea kwa mtu yeyote, awe na VVU au asiwe navyo. Hakuna ushahidi wa kisayansi unaoonesha uhusiano kati ya vidoti hivyo na maambukizi ya VVU, hivyo hali ya mtu haiwezi kutambuliwa kwa kuangalia unyayo. Njia pekee ya kuthibitisha hali ya VVU ni kupitia vipimo vilivyoidhinishwa vya VVU.

Juni 11, 2025 Wizara ya Afya ilikanusha taarifa iliyokuwa ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kupitia video ya mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mentor Chery and WellbeingHub, akidai kuwa moja ya dalili za mtu aliyeambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) ni uwepo wa vidoti vyeusi katika dole gumba hadi kwenye kisigino.

Wizara ya Afya ilisisitiza kuwa huwezi kumtambua mtu aliye na VVU kwa kumtazama kwa macho wala kupitia dalili hizo alizotaja mtu huyo.

Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, njia sahihi na ya pekee ya kujua hali ya maambukizi ya VVU ni kwa kufanya vipimo vya afya katika vituo rasmi vya kutolea huduma.

"Njia pekee ambayo mtu anaweza kutambua hali yake ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ni kufanya vipimo kwa mujibu wa miongozo iliyopo. Hivyo, Wizara inaiasa jamii kupuuza taarifa hizo na wale wote wanaotaka kujua hali zao za maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, wafike katika vituo vya kutolea huduma za afya ili kupima na kutambua hali zao.

Katika hatua nyingine, Wizara ya Afya inatoa onyo kwa watu wote ambao si wataalam wa afya, kujiepusha kutoa taarifa za afya huku wakijua hawana weledi au taaluma ya kufanya hivyo. Hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mtu yeyote atakayetoa na kusambaza taarifa zinazopotosha jamii na kufifisha juhudi za Serikali na wadau katika kupambana na maambukizi ya VVU."
Taarifa hiyo ilisisitiza​
Hao wali belewa mbona mie sijawahi tumia dawa lakini sina madoa na ninadunda sema last yeah ndio nilkingia icu aisee hatari zile penalty na israel ila yake ikagonga mwamba ndio pona yangu. Ila sasa naona vidudu vinatia kambi kwenye kibamia changu maana hakisimami tena
Pole sana Mzab kama ni kweli.

Japo nakumbuka kuna kipindi uliadimika hasaa. Huenda ndo kile.
 
Kwani wee mkopo uliufanyia nini? Ulihonga kibe 10 chako nini
Nimpe pesa mwanaume kwa maajabu gani aliyonayo? 😹

Mchina alinizingua nikachelewesha rejesho nusu niingizwe ICU 😥
 
Nimpe pesa mwanaume kwa maajabu gani aliyonayo? 😹

Mchina alinizingua nikachelewesha rejesho nusu niingizwe ICU 😥
Maeee mwee mweee naona na titi lote likanywea 🤣🤣🤣🤣
 
Pole sana Mzab kama ni kweli.

Japo nakumbuka kuna kipindi uliadimika hasaa. Huenda ndo kile.
Mwananchiiiii kwema...eeh bwana nilikuwa icu napambania life.
Sasa angalau japo kibamia ndio utam wake umeisha...hakina madhara tena.

Vipi msimu huu mnachukuwa ndoo tena?
 
Hao wali belewa mbona mie sijawahi tumia dawa lakini sina madoa na ninadunda sema last yeah ndio nilkingia icu aisee hatari zile penalty na israel ila yake ikagonga mwamba ndio pona yangu. Ila sasa naona vidudu vinatia kambi kwenye kibamia changu maana hakisimami tena
Mkuu tafuna Karanga mzee baba ,mbona cherry anadunda kwa njugu?
 
HIV imegundulika mwaka 1984 mgonjwa wa kwanza Africa alitokea Uganda,wewe kumbe umejificha zako na HIV sifa zinaenda Uganda hapana tuandamane kama taifa
HIV ilianza 1920 kongo 1983 franve 86 usa jina HIV 1986
 
Back
Top Bottom