Madoa mwili mzima

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
Habari za jioni wanaJF Doctor??

Nimeletea msichana wa kazi ila ana madoa mwili mzima, nimejaribu kumdadisi kama aliwahi kuugua ugonjwa wowote wa ngozi kama tetekuwanga ila.amekataa.

Anadai kuwa huwa anahisi kuwashwa na akijikuna hutojea vipele, kuhusu allergy pia anadai hana.

Najiuliza nikampime labda ni mchafuko wa damu ila sijui kama atakubali, au kuna mtu ana experience ya tatizo hili??

Asanteni

CL
 
Mkuu
huyo binti mpeleke Hosp lakini pia
inaweza kuwa ugonjwa ana wakati
mwingine maji aliyokuwa anatumia.

Kuna dada niliwahi muona ana kazi
yake nzuri lakini anahayo usemayo
mwili wote tatizo lilikuwa kutumia
maji ya kisima kwakuoga maana ndiyo
alikuwa anatumia maji ya bomba yalikuwa
machafu sana.
 
Mnunulie sabuni ya robert medicated soap!!!
 
Kuna mtoto wa wifi yangu kapotea ameacha mtoto mdogo nyumbani, Ni PM please! anatoka mkoa gani?
 
una mtoto mchanga/mdogo? please naomba ukamfanyie check up huyo mdada including damu kubwa
 
una mtoto mchanga/mdogo? please naomba ukamfanyie check up huyo mdada including damu kubwa

Hapana sina mtoto mchanga, mdogo ana 5yrs...... Je ni haki kumpima damu kubwa.bila ridhaa yake???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…