CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Habari za jioni wanaJF Doctor??
Nimeletea msichana wa kazi ila ana madoa mwili mzima, nimejaribu kumdadisi kama aliwahi kuugua ugonjwa wowote wa ngozi kama tetekuwanga ila.amekataa.
Anadai kuwa huwa anahisi kuwashwa na akijikuna hutojea vipele, kuhusu allergy pia anadai hana.
Najiuliza nikampime labda ni mchafuko wa damu ila sijui kama atakubali, au kuna mtu ana experience ya tatizo hili??
Asanteni
CL