Kuna movie moja nimesahau jina ya kidhungu; mke wa mtu alimzimikia muuza nguo kwa kuwa mume wake alikuwa busy sana na hana time nae. Muuza nguo mwenyewe anauza nguo zake kwa kutumia mobile shop (bus kuubwa likipark mahali analigeuza duka)
Yule mama kila gari ikija anenda kununua nguo na hereni; mwisho akaanza kumegwa humo humo garini.
Ni stroy ndefu lakini ilikuwa ni funzo kwa husband kusahau familia; maana mwisho wa siku mama alikuwa anafanya mambo openly mpaka watoto wakaanza kumchukia na walikuwa wanakaa na mama mkwe.
Ukitimiza wajibu wako kama mume hakuna atakayetembea na mkeo; ukiwa wewe unarudi saa nane usiku, tena umelewa; aisee hao masharobaro wauza nguo hawakawii kukusaidia kumlea wife. Afu wajanja hao; wakiona mwanamke kaja na usafiri wa maana utaona wanavyotaka kuwa na extra mazoea; kupeana simu mzigo ukija akwambie and so on and so forth.