Ansah Miles
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 392
- 175
mhhhhhhhhhh ukimchunguza kuku humli......
wengi wanalambwa aisee.....believe me....anaijaribisha nguo,anatazama ilivyompendeza
halafu muuza mitumba anakataa kushusha bei...so mwisho wanaelewana tu...
but hivi kuna sababu gani ya kuvaa mitumba siku hizi ambapo kuna nguo za kichina za bei nafuu???mpya?????
akili za baadhi ya wanawake nii pasua kichwa..
wauza mitumba
wauza nyma buchani
na madereva taxi....ukiwachunguza utatukana wanawake aisee....
Kuna movie moja nimesahau jina ya kidhungu; mke wa mtu alimzimikia muuza nguo kwa kuwa mume wake alikuwa busy sana na hana time nae. Muuza nguo mwenyewe anauza nguo zake kwa kutumia mobile shop (bus kuubwa likipark mahali analigeuza duka)
Yule mama kila gari ikija anenda kununua nguo na hereni; mwisho akaanza kumegwa humo humo garini.
Ni stroy ndefu lakini ilikuwa ni funzo kwa husband kusahau familia; maana mwisho wa siku mama alikuwa anafanya mambo openly mpaka watoto wakaanza kumchukia na walikuwa wanakaa na mama mkwe.
Ukitimiza wajibu wako kama mume hakuna atakayetembea na mkeo; ukiwa wewe unarudi saa nane usiku, tena umelewa; aisee hao masharobaro wauza nguo hawakawii kukusaidia kumlea wife. Afu wajanja hao; wakiona mwanamke kaja na usafiri wa maana utaona wanavyotaka kuwa na extra mazoea; kupeana simu mzigo ukija akwambie and so on and so forth.
Yote tisa wapaka rangi; yani mdada unaweka mguu kwenye paja la kijana afu anaanza kwa kunyoosha vidole (massaji ya bure) ndo anaanza kukupaka. Aisee mme wangu ana wivu siwezi paka rangi mbele yake. Ila nashangaa unakuta wengine wako bar Mr and Mrs wife anapakwa rangi mbele ya mumewe.
mhhhhhhhhhh ukimchunguza kuku humli......
wengi wanalambwa aisee.....believe me....anaijaribisha nguo,anatazama ilivyompendeza
halafu muuza mitumba anakataa kushusha bei...so mwisho wanaelewana tu...
but hivi kuna sababu gani ya kuvaa mitumba siku hizi ambapo kuna nguo za kichina za bei nafuu???mpya?????
Je botike masaloon ya wakongo man na wanawawekea kusha urembo wakati mguu wa mmusapu wako kauweka kwenye paja la mkongoman!! we acha ukiangalia hayo utakuja kuzimika kama mshumaa wakongo man ni noma kwa wadada kinachotakiwa ni dada mwenyewe kujitambua kuwa yupo kwenye mahusiano!!na ni mali yamhusika lasivyo usiguse!
Yote tisa wapaka rangi; yani mdada unaweka mguu kwenye paja la kijana afu anaanza kwa kunyoosha vidole (massaji ya bure) ndo anaanza kukupaka. Aisee mme wangu ana wivu siwezi paka rangi mbele yake. Ila nashangaa unakuta wengine wako bar Mr and Mrs wife anapakwa rangi mbele ya mumewe.
yah...si unajua ukijaribisha skin jeans inahitajika msaada...au wewe Husninyo skin jeans zako huwa unanunulia wapi....
Hivi kweli.mtu atembee na mtu kwa sababu ya skin jeans na top,embu acheni kuwa dharau wanawake kiasi hicho,cha kushangaza hata wanawake wanaunga mkono mada kama hizi za kumdhalilisha mwanamke,kiasi hicho.
Usisahau shughuli ya kupandisha zipu huko mgongoni! Kitopu dress kinabanaaa! Shurti zipu ianzie ilipoishia g-string! Hehehe
Hivi kweli.mtu atembee na mtu kwa sababu ya skin jeans na top,embu acheni kuwa dharau wanawake kiasi hicho,cha kushangaza hata wanawake wanaunga mkono mada kama hizi za kumdhalilisha mwanamke,kiasi hicho.
Hivi kweli.mtu atembee na mtu kwa sababu ya skin jeans na top,embu acheni kuwa dharau wanawake kiasi hicho,cha kushangaza hata wanawake wanaunga mkono mada kama hizi za kumdhalilisha mwanamke,kiasi hicho.
hehehe wa wapi wewe?Hivi kweli.mtu atembee na mtu kwa sababu ya skin jeans na top,embu acheni kuwa dharau wanawake kiasi hicho,cha kushangaza hata wanawake wanaunga mkono mada kama hizi za kumdhalilisha mwanamke,kiasi hicho.
nilitaka kushangaa hii sredi nisimuone mkwe. Lol
hapa tunazungumzia baadhi ya wanawake....
hatujasema wanawake in general...mbona akina aisha madinda na wema sepetu ni wake za watu pia
nini vi top,hata chips uswahilini unapata 'wake za watu'