Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww ndo uniachie mm ushauriUnanishaurije mkuu au nini cha kufanya?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pumbavu.
Nimepima BP nimekutwa na 129/81 Uzito Nina 75 Je? Kwa Majibu ayo Presha Ipo kawaida au Imezidi?
Hapo ulipopima hukujaribu kuwauliza??Nimepima BP nimekutwa na 129/81 Uzito Nina 75 Je? Kwa Majibu ayo Presha Ipo kawaida au Imezidi?
Asante sana. Amina.Ubarikiwe mkuu, na uendelee kua mjuaji wa kila kitu na ujaaliwe Zaidi kebei na kejeri.
Asant mkuu ubalikiwenormal range 120/80,
abrnomal range 140/90 na kuendelea
nikushaul tu mkuu jitahid kupunguza hiyo weight atleast chezea kweny 60 na bp yako sio mbaya ila usibweteke .
Sent using Jamii Forums mobile app
achezee kwenye 60 kg umefuata kigezo gani? kakuambia kimo(urefu) wake ni sm ngapi?normal range 120/80,