Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Uchafu hauna harufu wala nikiwa nasex sipati maumivu yoyoteUmesema uchafu unatoka well...!
Je unatoa harufu?
Wakati una sex ulikuwa unapata maumivu?
Ulisha wah kutumia contraceptives?
Je unapata maumivu yyote ya tumbo dogo?
Kwani kusex ni ajabu?? Kwann uone aibu
Umewahi kutumia pedi mbona unaelezea kwa kina sana.Poke.sana siku nyingine jaribu kuvaa ped za wakubwa kwa nini uvae ped za watoto adi ikomee juu juu[emoji41]uoini kama aikutoshii
Kwani kusex ni ajabu?? Kwann uone aibu
Umewahi kutumia pedi mbona unaelezea kwa kina sana.
Hizi nimezishindwa nimeona nikupe upambane nazo.Pambana na stress zako [emoji41]
Kwangu mimi bado mdogo naona aibu [emoji30]Kwani kusex ni ajabu?? Kwann uone aibu
KopNi aibu kwa mtu hajaolewa...
Hata situmiagi hayo makituInawezekana ni madhara ya dawa za uzaz wa mpango. Nilikuaga na dem 1 hv nae ilikuwa ukimkandamiza sana unatoka damu hivyo ni mpaka tupumzike tuendelee na usafi, akitakata show inaendelea. Tulivyomuuliza dicta alisema aache matumizi ya hzo dawa kwan hazimpend.
tuache maumivu, utamu uko kiwango kile kile?Uchafu hauna harufu wala nikiwa nasex sipati maumivu yoyote
contraceptive nilishatumia miaka mingi iliyopita uko nyuma
Hata situmiagi hayo makitu