Madoctor naomben msaada wa tatizo langu

Madoctor naomben msaada wa tatizo langu

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,130
Niliingia mp trh 31/10 nikamaliza trh 3/11 ...ilipofika trh 10/11 gafla tu nikashangaa nikaona dam lkn chache nadhan pad nusu , kesho take ped ikakomea jujuu tu basis haikutoka tena lkn nakua na uchafu unaovutika wenye rangi ya dam
Sielew tatizo linaweza kua nini?.... Jana nimesex baada ya hapo nikawaa
Natoka uchafu u aovutika wenye mchanganyiko na dam
Naomben ushaur ninaweza kua na tatizo gani?
 
Kabla hawajakupa usaidizi uliwahi kupatwa na hali ya Sintofahamu hapo awali?
 
Dada mimi siyo Doctor .ila kwa nini usiende hospital kabisa.maana naona kama ungehitaji kuchekiwa kuliko kusubiri ushauri wa humu amabo unaweza ukakupotosha pia.unaweza ukawa unalichelewesha tatizo hivyo likakua.maeneo hayo uliyoyataja ni delicate sana.nenda muone dk wa wanawake. ukiona huelewi elewi na uko Dar nenda moja kwa moja ocean road hospital wakakucheki na cervical kuona hakuna maambukizo yanayoweza pelekea saratani ya kizazi.
 
Sjaelewa pad imekomea juu juu ulitumia ipi? Means imetumbukia huko au?? Nenda hospital kwa msaada zaidi
 
Umesema uchafu unatoka well...!

Je unatoa harufu?
Wakati una sex ulikuwa unapata maumivu?
Ulisha wah kutumia contraceptives?
Je unapata maumivu yyote ya tumbo dogo?
 
Pole.sana siku nyingine jaribu kuvaa ped za wakubwa kwa nini uvae ped za watoto adi ikomee juu juu[emoji41]uoini kama aikutoshii
 
Umesema uchafu unatoka well...!

Je unatoa harufu?
Wakati una sex ulikuwa unapata maumivu?
Ulisha wah kutumia contraceptives?
Je unapata maumivu yyote ya tumbo dogo?
Uchafu hauna harufu wala nikiwa nasex sipati maumivu yoyote
contraceptive nilishatumia miaka mingi iliyopita uko nyuma
 
Inawezekana ni madhara ya dawa za uzaz wa mpango. Nilikuaga na dem 1 hv nae ilikuwa ukimkandamiza sana unatoka damu hivyo ni mpaka tupumzike tuendelee na usafi, akitakata show inaendelea. Tulivyomuuliza dicta alisema aache matumizi ya hzo dawa kwan hazimpend.
 
Inawezekana ni madhara ya dawa za uzaz wa mpango. Nilikuaga na dem 1 hv nae ilikuwa ukimkandamiza sana unatoka damu hivyo ni mpaka tupumzike tuendelee na usafi, akitakata show inaendelea. Tulivyomuuliza dicta alisema aache matumizi ya hzo dawa kwan hazimpend.
Hata situmiagi hayo makitu
 
Dawa za mashuleni na contraceptive zinaanza kufanya kazi yake jiandae kutotoa watoto wakike wengi.
 
Back
Top Bottom