MADOGO MLIOPANDA DARAJA, HUKU LIGI KUU HAKUNA UTANI HUKU UMEME UPO NA UKISHANGAA UNAPIGWA SHOTI.

MADOGO MLIOPANDA DARAJA, HUKU LIGI KUU HAKUNA UTANI HUKU UMEME UPO NA UKISHANGAA UNAPIGWA SHOTI.

Miguel Felix Gallardo

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
2,841
Reaction score
5,218
Madogo mnaochipukia kunako KIMASIHARA, Kaeni kwa PASSWORD kwa zama tulizopo usiumize sana kichwa.

Mchukue mpeleke hospitali ya serikali, mwambie doctor sisi hatuumwi tumekuja kufanya check-Up.

Kisha mtipu doctor hata ka 5K au teni mwambie ampime huyo kuku wako vipimo vifuatavyo;

1.UTI.
2.KASWENDE.
3.HIV HAPA APIME VIPIMO VYOTE VIWILI NAMBA MOJA NA MBILI.
4.HOMA YA INI.

MAJIBU yakija fresh katika hivyo vipimo vinne,mpe mtoto lunch au dinner moja matata,kisha kaichape mpaka usikie harufu ya mishkaki.Piga mpaka baada ya shoo mtoto wa watu alale fofofo😄😄😄.Baada ya hapo atakuwa anakutafuta mwenyewe!!!

📌📌📌Na kila demu kabla hujamla mwendo ni kupima kwanza,ukitaka kula na usiwe na mawazo baada ya kuichapa hakikisha unampima kila demu unayetaka kumkula nyama kwa nyama,akigoma ujuwe amewaka huyo,mshukuru sana kwa kukataa kwake kukuunga GRID YA TAIFA, pita kulia apite kushoto!!!!

📌KIJANA WA KIUME JILINDE, LIGI IMECHAFUKA UMEME KILA KONA!!!

📌KAMA HUWEZI HII PROCESS VAA NAILONI,NARUDIA TENA VAA NAILONI BRANDI ORIGINAL KAMA "ROUGH RIDER", NK.NYUZI ZA KULIALIA HAZINA ISSUE,CHUKUA HATUA HAKUNA WA KUKUONEA HURUMA HUMU DUNIANI.

#KIMASIHARA HOYEEE.
 
Tatizo kesho anaenda kwa mwamba mwingine anagawa nyama kwa nyama.
Akirudi kwako hamuwezi kupima kila mechi kila siku.

Kavipi we jilipue tu au abstain, condomize. There is no such thing as 'being faithful' between two sexually active human beings.
Watu hawajafika dau au bado hajamtokea anaye mvutia zaidi yako. Siku kimojawapo kati ya hivyo kikitokea anakusaliti tu.
 
Tatizo kesho anaenda kwa Marla mwingine anagawa nyama kwa nyama.
Akirudi kwako hamuwezi kupima kila mechi kila siku.

Kavipi we jilipue tu au abstain, condomize. There is no such thing as 'being faithful' between two sexually active human beings.
Watu hawajafika dau au bado hajamtokea anaye mvutia zaidi yako. Siku kimojawapo kati ya hivyo kikitokea anakusaliti tu.

Kama unachapa MALAYA basi amua moja, tafuta chimbo lenye malaya classic wanaopima kabla ya kila mechi tofauti na hapo jipange na kujiunga na TANESCO.Hakuna EXCUSE YA KUFA KILOFA!!!

📌MAANA YA ABSTAINANCE KWA MTU ANAYEKULA MILO WALAU MIWILI NA ANAAFYA NJEMA MAANA YA ABSTAINACE NI APIGE PUNYETO!!

NA UKIPIGA PUNYETO WEWE UMEKWISHA. UTAGONGEWA HADI NA MAJINI
😄😄😄
 
Back
Top Bottom