Madogo mnatudharua Mabroo zenu kisa tumeshindwa karibu Kila kitu

Umri umekwenda mkuu.
Ni vyema ukaachia ngazi ili vijana wako tuifanye kazi vyema.
Hili ni ombi tu mkuu

Tatizo MNATUDHARUA.
Kununua tuu kiwanja dharau elfu, kisa kaka zenu miaka nenda rudi hatumiliki hata kiwanja ukubwa wa eneo la choo
 
Tatizo MNATUDHARUA.
Kununua tuu kiwanja dharau elfu, kisa kaka zenu miaka nenda rudi hatumiliki hata kiwanja ukubwa wa eneo la choo
Ulikuwa wapi kununua kiwanja enzi za ujana wako.
Eti leo unakuja kunionea gere mimi kununua kiwanja katika umri ambao wewe hukuweza.

Waige wazee wenzako waliokubali kwamba wakati wao umekwisha.

Hizi ni zama za wanao na si wewe.
Waandae wanao vizuri ili wawe washindani wetu bora zaidi.
Hiyo ndio option iliyobakia upande wako ambayo ni salama
 

Dharau hizi.
Kwa hiyo mmegeuka washauri wa kaka zenu
 
Dharau hizi.
Kwa hiyo mmegeuka washauri wa kaka zenu
Hapo ndipo mnapokosea wazee.
Kuamini kwamba kijana hana nafasi ya kukushauri na kama akikushauri anakuwa amekudharau.

Wazee walioutumia ujana wao vizuri, Wanatambua mchango wetu kwao sisi vijana na wanatutumia kama washauri wao.

Kipindi wenzako kina bakhresa wanafanya maendeleo nyinyi mlikuwa mnawaza ngono tu mkiamini ni ujanja.
 
Bado hujasema..!! Na utasema tu..!! yaani hapo bado..!! yaani mpaka usemeee...!!

Yaani siyo madogo tu, hata wenye rika sawa na wewe au waliokuzidi, kama wamekuzidi kila kitu utapitia hicho hicho kwao..!!

Kwenye familia tu kama umezidiwa hela na mdogo wako wa saba, maamuzi ya kifamilia atafanya yeye. Na kama kwenye kikao cha familia hayupo mtamsubiri..!! This is nature..!!
 

Nitapiga mtu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ