Madogo wa form six, usijipige mtungi kwa vyuo vya bongo. Funguka, furaha ipo nje ya bongoland

Madogo wa form six, usijipige mtungi kwa vyuo vya bongo. Funguka, furaha ipo nje ya bongoland

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
Wababe zangu madogo wa form six, hebu tusome reality bila sugarcoating. Kama umemaliza form six na una-plan kurusha maombi kwenye vyuo vya Bongo bila hata kuangalia options za kimataifa, then you playing yourself, no cap. Life ya vyuo vya Bongo majority ni kama trap – unazama four years halafu unadrop mtaani kama soldier wa kubet na kuendesha bajaji. And that’s facts bro, not hate.

Sasa sikia hii kitu kwa makini – kama wewe ni mmoja wa wale waliomaliza na alama kali, yaani una Division I au II, especially ulisoma PCM, PCB, EGM, CBG, HGL au HKL – then you got real power bro. Usikae tu uanze kusubiri majibu ya TCU eti uingie chuo cha mtaa. Pull up na plan tofauti kabisa. Kuna vyuo serious sana duniani kama University of Toronto kule Canada, McGill University, University of Melbourne kule Australia, University of Cape Town pale SA, na hata University of Amsterdam kule Netherlands – vyuo ambavyo havicheki mambo ya lecture kuja na slides kisha anatoka bila kushusha kitu kichwani mwako. Huku wanapiga quality education – siyo upuuzi wa boom vibes na kula chipsi mayai kila usiku hostel.

Bro, huku watu wanakazana kuwa ma influencer wa Instagram badala ya kuwa influenced na knowledge. Ukitaka kubadilisha game yako, step out the system. Saka hizo scholarships – zipo kibao kama DAAD, Erasmus, Fulbright, MasterCard Foundation na zingine. Wewe unajua vizuri kuwa kuna mtaa haukuwahi kukuamini, so prove them wrong. Hustle paper zako vizuri, tengeneza motivation letter kali, na apply kama soldier.

Maisha siyo Netflix na chilling hostel. Ni planning, vision na execution. Don’t be that guy ambaye anajua vitu vingi kwa theory lakini anamaliza chuo anaanza kuuza perfume Kariakoo. Elimu ya nje inakupa access, exposure, na real plug za maisha. Huku watu wanakuambia “read this chapter”, kule unafundishwa how to think like a boss. Big difference!

Sasa hivi dunia iko open – siyo kama zamani. Google iko, internet iko, YouTube iko, email unayo. So no excuses. Ukikaa kimya na ukaishia kwenye system ya “utasoma chuo chochote tu”, then bro utashtuka miaka imeyeyuka kama sigara ya mtaani. Usikubali kuwa victim wa system yenye game ya ujanja ujanja na feki status.

Kama una ndoto ya kweli – ya kusaidia familia, kubadilisha maisha yako, kujenga jina duniani – then chase it like a real G. Fanya plan, focus, pray hard, and move smart. Because huku mtaani hakuna medals za kusubiri – ni pull up or shut up.
 
Kupanga ni kuchagua nafikiri mawazo yako sio mabaya ila umejaribu kuwagusia form six WA Aina ipi
Wakishua
Samaki kameza meli
 
Hata akibaki, asiwekeze muda kwenye theory pekee, atafute uhalisia wa maisha kiTanganyika Tanganyika akiwa chuo.

Sio anajifungia na makaratasi miaka mi4 anatoka na first class ila hajui chochote zaidi ya kujibu mitiani.

Anarudi mtaani anamkuta std 7 aliyejua maisha yalitaka nini anamuajiri na mshahara wa laki tano.
 
Umesema kweli shida hizo cost kwa maana huwezi pata kitu kama hauna kitu.
Nani atabeba gharama za kufika kule wengi ni familia za msaada wa boom.
Labda baada ya kutoa mikopo wamalize vyuo warudi mtaani kuwa bodaboda wapewe msaada wa mchakato wa kuzama mbele huko maana huko hata bodi ya mikopo Ina uhakika wa pesa kurudi, tofauti na hii ya kuwapa mikopo wamalize vyuo warudi mtaani kuuza perfume na kuwa bodaboda
 
Umesema kweli shida hizo cost kwa maana huwezi pata kitu kama hauna kitu.
Nani atabeba gharama za kufika kule wengi ni familia za msaada wa boom.
Labda baada ya kutoa mikopo wamalize vyuo warudi mtaani kuwa bodaboda wapewe msaada wa mchakato wa kuzama mbele huko maana huko hata bodi ya mikopo Ina uhakika wa pesa kurudi, tofauti na hii ya kuwapa mikopo wamalize vyuo warudi mtaani kuuza perfume na kuwa bodaboda
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom