Madokta mpo wapi?

Madokta mpo wapi?

Lol! Hapa anahitajika urologist akisaidiwa na sheikh ama padri.
 
Kutokwa na ute mzito kwenye uume wakati wa haja kubwa je ni tatizo?
@Koromeo Hiyo inaitwa Madhii sio Tatizo ni kwa sababu hujafanya mapenzi siku nyingi. Kuna watu wengine huku wanatokwa kama wewe ila wakati wanapokuwa wanapokuwa wana kojoa inatoka hiyo inaitwa Madhii usiogope ni kawaida tu . Je wewe unaye mchumba ? au umeowa?
 
Back
Top Bottom