kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Watanzania mnapowapigia kelele vijana wa jeshi la Polisi kwa kisingizio kwamba hawana akili na maarifa kwa kuwa waliajiriwa na D mbili mnapotoka. Nasema mnapotoka kwa sababu unapohukumu waliofeli lazima mtuambie waliofaulu wamefanya Nini?
Tunao Maprofesa na Madokta hapa nchini ambao baadhi walifaulu katika ngazi ya 1st class lakini dhamana waliyokabidhiwa wanatenda kama darasa la Saba. Nchi hii inayumbishwa na wasomi.
Siungi mkono waliofeli kujiunga Polisi lakini pia siungi mkono mtizamo kwamba waliofaulu darasani ndio wanaoweza kutenda na kusimamia haki.
Wapo wasomi wasiofaa na Wapo wasiosoma Sana wasiofaa, Wapo wasomi wanaofaa na wasio soma Sana wanaofaa.
Tujikite kutengeneza mfumo utakaotupa watu sahihi kwenye ajira za serikali. Wawe wasomi na wasiosoma ila waweze kutenda haki.