prince dudu
Senior Member
- May 24, 2015
- 109
- 76
Jamii Kids Forum member at his bestNi mbaya zaidi kwa mwanaume kufikia atua hii me jamani Kuna mwanamke nampenda ila nashidwa kumwambia hii inatokana na mimi kuto tongoza kwa muda mrefu. Nawashauri wanaume tuwe tunafanya mazoezi ya kutongoza kila wiki.

Naunga mkono hojaJamii Kids Forum member at his best
Kuna kaka alishindw kunitamkia aliniambia ki parcel kufika nyumbani na kikifungua nilikutana pichu na bra set tano lakini zote ndogo kwangu
Sister miss u so much, hahahaha anakosa utamu si ndiyo.Hahaaa. Pole sana Mkuu.
Hivyo vizuri vinakupita unabaki na dude rohoni ila kufunguka unashindwa. Lol
Hakufanikiwa lakini aliponikosa alikuwa na usongo alinipaka kila mahaliKwa hiyo ulimuelewa??? Na akafanikiwa kukupata?
Hahahaha, hayo ndiyo madhara ya udomo zegeHakufanikiwa lakini aliponikosa alikuwa na usongo alinipaka kila mahali
Mi pia nimekumiss ndugu yangu kulikoni lakini kujificha huko?Sister miss u so much, hahahaha anakosa utamu si ndiyo.
Upo kwenye kundi la prince dudu yani DZMe pia nimekuwa mzito sana.. Yani hata kuombaa namba nimekuwa muogaa sijui ndo sababu sijatongoza mda mrefu..
Usijali sister langu tupo pamoja sana.Mi pia nimekumiss ndugu yangu kulikoni lakini kujificha huko?
Kabisaaaa. Anaishia kuwaita shemeji tu. Hahahaaaa.