kuna haja ya kufanya uhakiki wa range ya umri iwe 》18+ ili mtu aweze kupata access ya jukwaa hili,Jamii Kids Forum member at his best
Haha madomo zege wengi wanakuwaga ma HB kwaiy wanaishia kupendwa ila kumaliza kazi ndo mtitiuzuri wa Mungu hakunyimi vyote. Domo zege ila pesa ipo, sio domo zege pesa hakuna. Sasa kama vyote viwili vyako yaan pesa huna, domo zege na vingine basi ungana na chaputa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwe unakalili manenoNi mbaya zaidi kwa mwanaume kufikia atua hii me jamani Kuna mwanamke nampenda ila nashidwa kumwambia hii inatokana na mimi kuto tongoza kwa muda mrefu. Nawashauri wanaume tuwe tunafanya mazoezi ya kutongoza kila wiki.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] aanze kujichekesha kwa wadada tu watamwelewauzuri wa Mungu hakunyimi vyote. Domo zege ila pesa ipo, sio domo zege pesa hakuna. Sasa kama vyote viwili vyako yaan pesa huna, domo zege na vingine basi ungana na chaputa.
Kwahiyo ukamwelewa? Sasa si akikuona anaweza kukukimbia?[emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna kaka alishindwa kunitamkia alinipa ki parcel kufika nyumbani na kikifungua nilikutana pichu na bra set tano lakini zote ndogo kwangu
Hayo matope kwanini asinge tumia kukutamkia, ndiyo ujinga uliopo hapoHakufanikiwa lakini aliponikosa alikuwa na usongo alinipaka kila mahali
Hela ndio kila kitu mkuu yaan utapendwa tu ata uwe domo zege au mbayaUmeona ee dada angu.
Zamani matajiri walikuwa wanatafuta mademu wazuri, lakini asaivi mademu wazuri wanatafuta matajiri.
Mkuu tafuta hela tu, asipokupenda wewe atapenda hela zako.
HahahahaNi mbaya zaidi kwa mwanaume kufikia atua hii me jamani Kuna mwanamke nampenda ila nashidwa kumwambia hii inatokana na mimi kuto tongoza kwa muda mrefu. Nawashauri wanaume tuwe tunafanya mazoezi ya kutongoza kila wiki.