Madomo zege tukutane hapa..

Madomo zege tukutane hapa..

Wanawake walivyo kitonga siku izi kweli unawezaje kuwa domo zege?
 
Mimi huwa sina muda wa kumwambia mtu nakupenda sijui nakuzimia,, huwa naanza kumzoea baada ya hapo ni vitendo tu vya kimapenzi, baadae kabisa ndio namuambia kuwa nampenda...

Yaani mboga unaindaa ikiwa jikoni unaonja, kisha unapoitumia kwenye chakula hapo ndio useme kuwa mboga ni tamu...
 
Ni mbaya zaidi kwa mwanaume kufikia atua hii me jamani Kuna mwanamke nampenda ila nashidwa kumwambia hii inatokana na mimi kuto tongoza kwa muda mrefu. Nawashauri wanaume tuwe tunafanya mazoezi ya kutongoza kila wiki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwe unakalili maneno
 
uzuri wa Mungu hakunyimi vyote. Domo zege ila pesa ipo, sio domo zege pesa hakuna. Sasa kama vyote viwili vyako yaan pesa huna, domo zege na vingine basi ungana na chaputa.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] aanze kujichekesha kwa wadada tu watamwelewa
 
Kuna kaka alishindwa kunitamkia alinipa ki parcel kufika nyumbani na kikifungua nilikutana pichu na bra set tano lakini zote ndogo kwangu
Kwahiyo ukamwelewa? Sasa si akikuona anaweza kukukimbia?[emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mama mongera alisema watu wakaja juu lakini wapo waliomuelewa kabisa,
Sasa na mwanamke akijua unampenda halafu domo zege [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] omba poo tu
 
Afadhal tumekumbukwa na sie tusiojua kupiga sound
 
Umeona ee dada angu.

Zamani matajiri walikuwa wanatafuta mademu wazuri, lakini asaivi mademu wazuri wanatafuta matajiri.

Mkuu tafuta hela tu, asipokupenda wewe atapenda hela zako.
Hela ndio kila kitu mkuu yaan utapendwa tu ata uwe domo zege au mbaya
 
Ni mbaya zaidi kwa mwanaume kufikia atua hii me jamani Kuna mwanamke nampenda ila nashidwa kumwambia hii inatokana na mimi kuto tongoza kwa muda mrefu. Nawashauri wanaume tuwe tunafanya mazoezi ya kutongoza kila wiki.
Hahahaha
 
Back
Top Bottom