Madomo zege tukutane hapa..

Mhh kumbe
Ila Hamna Mbaya, Pambana ama nn

[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kuna kaka alishindwa kunitamkia alinipa ki parcel kufika nyumbani na kikifungua nilikutana pichu na bra set tano lakini zote ndogo kwangu
Kumbe wewe una hips kubwa lol....sawa tuu....namuonea Donge naniii...
 
Madomo zege tunalo Aiseee....ndo maana napendaga mwanamke anitongoze Aiseee....
 
Duh! Mmeshaunda na chama chenu tayari!!??
 
uzuri wa Mungu hakunyimi vyote. Domo zege ila pesa ipo, sio domo zege pesa hakuna. Sasa kama vyote viwili vyako yaan pesa huna, domo zege na vingine basi ungana na chaputa.
Ukinyimwa hivyo utapewa Sura au mvuto wa kipekee yaan muonekano poa. had leo sijawahi kutongoza demu kwa maneno huwa namwangalia tu kwa macho ananielewa, ujue kutongoza ni kipaji wengine had waimbe na nyimbo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
nawashauli madomo zege wote mvae mabango ya rena ili mademu wakiwaona wasipate shida kuwakaa na kuwakubalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…