Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikumtunuku..ila nilimla vipesa vyake hadi alijutaUlimtunuku penzi au uliishia kumcheka tu yna4?
Kosa lake lilikua hilo moja tu udomo zege au hukumpenda?Sikumtunuku..ila nilimla vipesa vyake hadi alijuta
Ulikua unasoma uhasibu Arusha!?Kuna kaka alishindwa kunitamkia alinipa ki parcel kufika nyumbani na kikifungua nilikutana pichu na bra set tano lakini zote ndogo kwangu
Kumbe wewe una hips kubwa lol....sawa tuu....namuonea Donge naniii...Kuna kaka alishindwa kunitamkia alinipa ki parcel kufika nyumbani na kikifungua nilikutana pichu na bra set tano lakini zote ndogo kwangu
Wote "ke" na "me" chama lao wajiite hivi, "Domo Zege Association Of Tanzania" [DOZAOTA]Aah uzi wetu huu
Inafaa tuanzishe chama
Lakini ke si siyo lazima kuwa watongozaji?Wote "ke" na "me" chama lao wajiite hivi, "Domo Zege Association Of Tanzania" [DOZAOTA]
Hahaaa lkn si umeshamuelewa kwa lugha ya pcha?Kuna kaka alishindwa kunitamkia alinipa ki parcel kufika nyumbani na kikifungua nilikutana pichu na bra set tano lakini zote ndogo kwangu
Patamu hapoHakuna swali gumu kwa madomo zege kama "Haya niambie ulichoniitia"
Ukinyimwa hivyo utapewa Sura au mvuto wa kipekee yaan muonekano poa. had leo sijawahi kutongoza demu kwa maneno huwa namwangalia tu kwa macho ananielewa, ujue kutongoza ni kipaji wengine had waimbe na nyimbo[emoji23] [emoji23] [emoji23]uzuri wa Mungu hakunyimi vyote. Domo zege ila pesa ipo, sio domo zege pesa hakuna. Sasa kama vyote viwili vyako yaan pesa huna, domo zege na vingine basi ungana na chaputa.
😛😛😀😀🙂🙂Kuna kaka alishindwa kunitamkia alinipa ki parcel kufika nyumbani na kikifungua nilikutana pichu na bra set tano lakini zote ndogo kwangu