Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Uumbaji wa Mungu ni binadamu kupitia madaraja kadhaa ya maisha kabla ya kidogo. Utopia, ujanani na uzee ni madaraja tunayopitia binadamu. Wengine hufariki wakiwa watoto, vijana na kuna wanaofikia uzee kabla ya kidogo.
Binadamu anapojitahidi kupambana na utaratibu wa Mungu huwa inamgharimu sana. Huyu mama ametengeneza sura mpaka imebadilika kabisa kutoka sura yake ya asili.
Hii ni picha ya mwezi huu wa pili 2023 akiwa kwenye Grammy Awards..