Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VyoteUzee ni muonekano au ni umri kwenda?
Tuanzie hapo kwanza.
Sipati picha sehemu nyingine zinafananaje!Huwzi kupambana na asili huo ni uso tu umekuwa mzito kama uji😂😂
Wehu hao ndio wale wakimuona mtu mzima kavaa jeans na raba kali wanaanza kumsema ameruka stagembona naona kapendeza tu. Au ukiwa mzee hutakiwi kujipenda?
Labda igome kuingiaUyu Bibi akikupa mbususu unatafuna?
Kuna mavazi ya ujanaWehu hao ndio wale wakimuona mtu mzima kavaa jeans na raba kali wanaanza kumsema ameruka stage
Hiyo Graphics ya Daily Mail??View attachment 2509880
Uumbaji wa Mungu ni binadamu kupitia madaraja kadhaa ya maisha kabla ya kidogo. Utopia, ujanani na uzee ni madaraja tunayopitia binadamu. Wengine hufariki wakiwa watoto, vijana na kuna wanaofikia uzee kabla ya kidogo.
Binadamu anapojitahidi kupambana na utaratibu wa Mungu huwa inamgharimu sana. Huyu mama ametengeneza sura mpaka imebadilika kabisa kutoka sura yake ya asili.
Hii ni picha ya mwezi juu wa pili 2023 akiwa kwenye Grammy Awards..
Kuna mavazi ya ujana
Umasikini ndio tatizo afrika ya nchi masikini.Jambo linalonishangaza, afrika hasa tanzania mtu akifikisha miaka 60 hivi anaanza kujiandaa na kufa wakati huko mtu ana miaka 70 ndio kwanza anakuwa na ndoto za kuwa raisi.
Akina diddy mpaka leo wanaonekana wana nguvu sio wazee, wangekuwa tz wazee kabisa wale wanakaribia kustaafu wakalee wajukuu.