Madonna anajitahidi kupingana na uzee

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011


Uumbaji wa Mungu ni binadamu kupitia madaraja kadhaa ya maisha kabla ya kidogo. Utopia, ujanani na uzee ni madaraja tunayopitia binadamu. Wengine hufariki wakiwa watoto, vijana na kuna wanaofikia uzee kabla ya kidogo.

Binadamu anapojitahidi kupambana na utaratibu wa Mungu huwa inamgharimu sana. Huyu mama ametengeneza sura mpaka imebadilika kabisa kutoka sura yake ya asili.

Hii ni picha ya mwezi huu wa pili 2023 akiwa kwenye Grammy Awards..
 
Hii ya Juzi jumapili… amekuwa puff puff 😮‍💨😮‍💨
 
Jambo linalonishangaza, afrika hasa tanzania mtu akifikisha miaka 60 hivi anaanza kujiandaa na kufa wakati huko mtu ana miaka 70 ndio kwanza anakuwa na ndoto za kuwa raisi.
Akina diddy mpaka leo wanaonekana wana nguvu sio wazee, wangekuwa tz wazee kabisa wale wanakaribia kustaafu wakalee wajukuu.
 
Kina Lwiza Mbutu tunazeeka yeye anazidi kuwa kijana kila leo
 
Ungetuonyesh before and after
 
Duuuh! kawa kama ana miaka 30s
 
The Most famous doctor in the world ana miaka 57 now..ila huyu kama kazeeka flani ghafla baada ya kufanyiwa operation mwaka juzi.
 

Attachments

  • images (20).jpeg
    18 KB · Views: 6
Tunaamini maandiko ya Mungu kuwa umri wa mwanadamu ni miaka 70, ukijitahidi kwa neema yake Mungu ni miaka 80, kwa hiyo lazima tuwaze kufa, kwanza ni wachache sana wanaofikia hiyo miaka 60.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…