Madonna mwenye umri wa miaka 63 akiwa na mpenzi wake mwenye umri wa miaka 27

Ukijua historia ya Madonna haya hayatakusjmbua. Tangu akiwa nyota miaka ya 80-90 alipenda sana sex. Hawezi kudate hata mwanaume wa 40’s huyu mama damu inachemka.
 
Kwenye hii hujanielewa bibie
 
Ukijua historia ya Madonna haya hayatakusjmbua. Tangu akiwa nyota miaka ya 80-90 alipenda sana sex. Hawezi kudate hata mwanaume wa 40’s huyu mama damu inachemka.
Kwaiyo mama bado na umri huo anapenda gwarideπŸ˜†πŸ˜† naomba mnisaidie kidogo kuhusu wamama eti wanasema wamama wakishafika menopause ile libido inapungua au Aya mambo tunadangangaywa sisi huku weusi
 
Once aliwahi fungwa kamba mikononi na miguuni akipigwa na kudhalilishwa na aliyekua mpenzi wake. Ingawa kilichotokea kingeweza pelekwa mahakamani kwakua kimefuzu kua 'abduction' Madonna hakutaka hilo swala lifike mahakamani.

Iliaminika kwamba Madonna alikua ni alama ya uhuru, rebel na mwanamke imara, kwenda mahakamani kwa kesi kama hiyo ingekua kuutarifu ulimwengu kwamba hata yeye anaweza patwa na chochote kinachoweza mpata 'average woman' hivyo angeharibu taswira anayoiwakilisha mbele za watu.

Anyway, a woman who endured all ili kuprove yeye siyo average woman nafikiri amebakisha a thing or two kuendelea kutuambia kwamba 'Madonna is still that rebellious, independent strong woman'
 
Wewe humjui madona, yaani hadi afike miaka 80 bado yupo na hiko kiserengeti! Hapo atakuwa kashabadili viserengeti kama vinne hivi
 
Kwaiyo mama bado na umri huo anapenda gwarideπŸ˜†πŸ˜† naomba mnisaidie kidogo kuhusu wamama eti wanasema wamama wakishafika menopause ile libido inapungua au Aya mambo tunadangangaywa sisi huku weusi
Hii ni personal issue, hata wanaume wengine wanaanza ukicheche baada ya kustaafu. Siwezi ku generalise wanawake wote.
 
Ukijua historia ya Madonna haya hayatakusjmbua. Tangu akiwa nyota miaka ya 80-90 alipenda sana sex. Hawezi kudate hata mwanaume wa 40’s huyu mama damu inachemka.
Hutaki uzeee, anapenda mwendokasi hataki round ikawie sana, kusingizia kazi nyingi
 
Ukijua historia ya Madonna haya hayatakusjmbua. Tangu akiwa nyota miaka ya 80-90 alipenda sana sex. Hawezi kudate hata mwanaume wa 40’s huyu mama damu inachemka.
Hahahhh nimecheka damu inachemka.. pesa nzuri kha!
 
kikongwe anamrubuni kijana kwa kutumia mbususu yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eeeeh...

Bongo upate kama hili dah na hisi utatengwa huto pumua hata ukinunia ndinga yako watasema umeongwa tuu.

Dah kapata kamseleleko...
Sa sijui alianza na kima sihara ndo akajimilikisha mazima

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…