Hao ndo wazungu mkuu hawana mambo za kichagga kusaidiana ukoo mzima.
Yupo radhi akaasili mtoto nje.
Homeless wa kujitakia...aache pombe kwanza ajue nae kutafuta pesa. Kama umesoma vizuri huyo bwana keshalipiwa mara nyingi na madonna kwenda rehab. Sometimes you have to let things go..........maana kila mtu analimit. Sio ufanye machafu expecting your siblings coz they have bucks to support you no matter!
Sio madonna tu hata mimi ningempandishia vioo.
cc The Boss
nani kakwambia madona ni bilionea ?
Madonna kwenye mabilionea hayupo kabisa.
kwenye dini yetu Madonna akifa huyo kaka yake lazima apate urithi wa _% tena zaidi ya watoto wa marehemu!

MADONNA ni milionea wa usa dollars, ukibadilisha na kwa madafu ni bilonea wa shilings
Wauliza jibu tena...nilishapandisha vioo zamami. Salamu na kujuliana hali kupo lakini msaada ya kijinga na ikiwa yeye mtu mzima na afya kamili kwakweli nimemwacha dunia imfunze kidogo.kama sikosei na wewe pia uliwahi leta thread kuhusu ndugu yako
ambae habebeki but still ulikuwa unataka kumsaidia
wewe ungeweza kumfungia ndugu yako vioo yeye alale barabarani?
au unashabikia tu wengine?
Wauliza jibu tena...nilishapandisha vioo zamami. Salamu na kujuliana hali kupo lakini msaada ya kijinga na ikiwa yeye mtu mzima na afya kamili kwakweli nimemwacha dunia imfunze kidogo.
Siwezi beba gunia la misumari ingali ni kipara. Hivyo some people need to learn the hard way
Huyu Janet anauza nini lakini...miziki yake ilipotea zamani zaidi ya miaka kumi hajafika top of the chart. Hata acting career pia imemtupa kiaina.....im just wondering? ???
sio Mdonna tu hata Janet Jackson ni bilionea pia
msiwe mnabisha bisha bila hata kufanya tafiti kidogo
Madonna Reaches Billionaire Status!!! | PerezHilton.com
braza i already do the research before you,
tatizo vyanzo vyako vyote umetoa kwenye blogs au site za udaku,
haya soma hapa,
Why Madonna Isn't On The Forbes Billionaires List - Forbes
Here's Why Janet Jackson Is Not On Our Billionaires List - Forbes