MadameX
JF-Expert Member
- Dec 27, 2009
- 7,792
- 3,856
Watu mna roho ngumu lol
mimi ndugu yangu ntahakikisha analala pazuri na kula vizuri tu
only pesa za matanuzi ndo simpi....but siwezi kuruhusu awe homeless..
Lol hajakuwa homeless bana bado analala kwa mzee. Hiyo ya matanuzi hakuna. akatafute kazi