Madonna ni bilionea now,kaka yake ni homeless lol

Madonna ni bilionea now,kaka yake ni homeless lol

Watu mna roho ngumu lol
mimi ndugu yangu ntahakikisha analala pazuri na kula vizuri tu
only pesa za matanuzi ndo simpi....but siwezi kuruhusu awe homeless..

Lol hajakuwa homeless bana bado analala kwa mzee. Hiyo ya matanuzi hakuna. akatafute kazi
 
Back
Top Bottom