Madonna penzini na kijana wa miaka 25

Huyu Madonna hata akifikisha miaka 80 atakuwa bado anachukua under 30 tu. Ana mihela na vijana wanataka mseleleko, acha awanyonyeshe mamvi tu.
 
Kwa wazungu lakini sio huku kwetu Africa.


Africa gani unasema wewe? Nenda Zanzibar au Mombasa uone mabeach boy wanavyokumbatia vibibi. Tena vile vibibi vishuka ambavyo havimfikii Madonna kwa uzuri wala kwa mkwanja.
 
nikutoe wasiwasi, ziko njema kabisa labda huyo 'maza' wenu alikuwa mchafu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…