Madonna penzini na kijana wa miaka 25

Madonna penzini na kijana wa miaka 25

Huyu Madonna hata akifikisha miaka 80 atakuwa bado anachukua under 30 tu. Ana mihela na vijana wanataka mseleleko, acha awanyonyeshe mamvi tu.
 
Nakataa Maddona siyo bibi.
Screenshot_20191231-124411_Instagram~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wazungu lakini sio huku kwetu Africa.


Africa gani unasema wewe? Nenda Zanzibar au Mombasa uone mabeach boy wanavyokumbatia vibibi. Tena vile vibibi vishuka ambavyo havimfikii Madonna kwa uzuri wala kwa mkwanja.
 
Wanawake wa Kizungu tabia zao mbaya sana, kumvulia €hü¶! mtoto sawa na mjukuu wako huko ni kujitoa ufahamu.

Huyo dogo naye anamuangaliaje maana wabibi huko chini kunatisha kweli kweli

Nakumbuka early 2000 kipindi hiko nakua ndiyo najifunza uhuni, tulipiga chabo guest moja Manzese tukakutana na scene ya maza wa mshkaji wetu anakazwa, aisee kuna namna ilitokea wakataka kukaa style moja sasa bahati mbaya ikatokea tukaziona sehemu zake aisee zilikuwa zinatisha.

Ule usemi kwamba ukiangalia nyeti za watu wazima utapofuka niliziamini maana nilipigwa wenge moja matata sana wiki nzima nikawa sijielewielewi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
nikutoe wasiwasi, ziko njema kabisa labda huyo 'maza' wenu alikuwa mchafu tu!
 
Back
Top Bottom