Madrid anatuchania Sana mikeka

Madrid,man u,chelsea sio timu za kufanya nazo biashara mkuu
 
Bet magoli mkuu, direct win ni MTIHANI aisee. Nenda na over au under
 
Ukiona umeliwa jua kua umemneemesha mwingine,bet ni mchezo wa masikini kumchangia masikini mwingine huku muhusika "Muhindi" yeye akipiga faida tu kupitia mzunguko wa hizo hela!
 
Hazard hajawahi kuwa Mchezaji mzuri zaidi ni kimbia kimbia zisizo na maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…