Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Majeruhi na kufungiwa kwa baadhi ya wachezaji wa Real, itaufanya mchezo wa leo kuwa wa upande mmoja. Ikumbukwe Real itawakosa, Bale, Benzema, Modric na Marcelo.
Atletico Madrid, timu ya wananchi leo itaingia uwanjani na kwenda kutafuta Ushindi au hata sare ya magoli tuu ili kuweza kuingia Nusu Fainali ya Uefa.
Tukutane, saa 3:45 usiku pale Santiago Bernabeu, Mabingwa watetezi watakapovuliwa Ubingwa Rasmi.