Madrid Derby, leo game itakuwa ya upande mmoja.

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Majeruhi na kufungiwa kwa baadhi ya wachezaji wa Real, itaufanya mchezo wa leo kuwa wa upande mmoja. Ikumbukwe Real itawakosa, Bale, Benzema, Modric na Marcelo.

Atletico Madrid, timu ya wananchi leo itaingia uwanjani na kwenda kutafuta Ushindi au hata sare ya magoli tuu ili kuweza kuingia Nusu Fainali ya Uefa.

Tukutane, saa 3:45 usiku pale Santiago Bernabeu, Mabingwa watetezi watakapovuliwa Ubingwa Rasmi.
 
Real Madrid ina wachezaji wazuri na imara wakuziba hayo mapengo usijidanganye hao Atm kam sio makosa ya Bale wangepigwa tangu mechi ya 1 kule kwao Angekosekana mtu kama Ramos hapo sawa
Mapengo yatazibwa hivi;

Marcelo>> Fabio Coentrao
Benzema>> Chicharito
Modric>>James Rodriguez
Bale>> Isco

ndio.faida ya kua na Kikosi kipana;

1 Casilas
2 Carjaval
3 Coentrao
4 Varane
5 Ramos
6 Toni Kroos
7 Ronaldo
8 Lucas Silva/illara
9 Chicharito
10 James Rodriguez
11 Isco

Hahaha pengo lipi sasa......
 
Msisahau kuwa mko kwenye mji wetu, uwanja wetu, michuano yetu. Vamonos, hasta el final, it's all blanco.
 
Naomba muwepo hadi mida ya mchezo, hamchelewagi kukimbia. cc: Fans wote wa Real na Atletico
 
Hatukukimbia Lyon wakitufanya hamna miaka nenda rudi, itakuwa leo? Tusipopita leo, tutabeba La Undecima ndani ya miaka miwili ijayo.
 
Majeruhi na kufungiwa kwa baadhi ya wachezaji wa Real, itaufanya mchezo wa leo kuwa wa upande mmoja. Ikumbukwe Real itawakosa, Bale, Benzema, Modric na Marcelo.

Atletico Madrid, timu ya wananchi leo itaingia uwanjani na kwenda kutafuta Ushindi au hata sare ya magoli tuu ili kuweza kuingia Nusu Fainali ya Uefa.

Tukutane, saa 3:45 usiku pale Santiago Bernabeu, Mabingwa watetezi watakapovuliwa Ubingwa Rasmi.

kwenye soka lolote linaweza kutoke na kumbukumbu ya jana bado unayo kilichowakuta Porto!
 
Naomba muwepo hadi mida ya mchezo, hamchelewagi kukimbia. cc: Fans wote wa Real na Atletico

mi nitakuwepo huku nikitafuna halua (sijui ndo inaandikwa hivyo) baada ya kazi yangu kuimaliza jana...
 
Nilianza kuisoma hii post ila nilivoona jina la mtoa post tu nikaahirisha coz sikutegemea balanced analysis...leo jiandae kwa maumivu mkuu Calderon
 
Real Madrid ina wachezaji wazuri na imara wakuziba hayo mapengo usijidanganye hao Atm kam sio makosa ya Bale wangepigwa tangu mechi ya 1 kule kwao Angekosekana mtu kama Ramos hapo sawa
Mapengo yatazibwa hivi;

Marcelo>> Fabio Coentrao
Benzema>> Chicharito
Modric>>James Rodriguez
Bale>> Isco

ndio.faida ya kua na Kikosi kipana;

1 Casilas
2 Carjaval
3 Coentrao
4 Varane
5 Ramos
6 Toni Kroos
7 Ronaldo
8 Lucas Silva/illara
9 Chicharito
10 James Rodriguez
11 Isco

Hahaha pengo lipi sasa......

Naomba uangalie mpira wa leo kisha uone kama pengo lipo au halipo.
 
Haters wamekula kona, walikuwa wanataka kucheza ngoma sio yao sasa viroho vimeanza kuwadunda wanaona mafuriko yanakaribia nyumbani kwao ha ha ha.
Wengi huwa mashabiki wa mkopo, wana clubs wanazo-support premier huko. Utaskia tu, 'Mi Atleti ndio timu yangu ya Spain', TF is that?
 
Kuna wengine kama yule Aleyn na wenzake ni washabikia timu ya Catalunya, sasa hivi ugonjwa wa moyo umepanda maana Draw ya nusu fainali ni kesho. Walichongonga sasa wanaomba wapangiwe na Juventus. Mi nataka tupangiwe na wale wale nyambaf..
 
Majeruhi na kufungiwa kwa baadhi ya wachezaji wa Real, itaufanya mchezo wa leo kuwa wa upande mmoja. Ikumbukwe Real itawakosa, Bale, Benzema, Modric na Marcelo.

Atletico Madrid, timu ya wananchi leo itaingia uwanjani na kwenda kutafuta Ushindi au hata sare ya magoli tuu ili kuweza kuingia Nusu Fainali ya Uefa.

Tukutane, saa 3:45 usiku pale Santiago Bernabeu, Mabingwa watetezi watakapovuliwa Ubingwa Rasmi.

Sasa umeanzisha topic, umewaachia wengine wachangie, we vipi?
 
Kuna wengine kama yule Aleyn na wenzake ni washabikia timu ya Catalunya, sasa hivi ugonjwa wa moyo umepanda maana Draw ya nusu fainali ni kesho. Walichongonga sasa wanaomba wapangiwe na Juventus. Mi nataka tupangiwe na wale wale nyambaf..
Hahaha. Binafsi siitaki tena el clasico, labda tukutane final. Mi nawataka Juve for a payback, hawa jamaa walinipa machungu hatari mara mbili back in the '00s, hii tulivyokutana nao kwenye group stages sikuihesabia.

Kama vp Bayern tena semis, halafu final ndio Juve.
 
Back
Top Bottom