Hatukukimbia Lyon wakitufanya hamna miaka nenda rudi, itakuwa leo? Tusipopita leo, tutabeba La Undecima ndani ya miaka miwili ijayo.Naomba muwepo hadi mida ya mchezo, hamchelewagi kukimbia. cc: Fans wote wa Real na Atletico
Majeruhi na kufungiwa kwa baadhi ya wachezaji wa Real, itaufanya mchezo wa leo kuwa wa upande mmoja. Ikumbukwe Real itawakosa, Bale, Benzema, Modric na Marcelo.
Atletico Madrid, timu ya wananchi leo itaingia uwanjani na kwenda kutafuta Ushindi au hata sare ya magoli tuu ili kuweza kuingia Nusu Fainali ya Uefa.
Tukutane, saa 3:45 usiku pale Santiago Bernabeu, Mabingwa watetezi watakapovuliwa Ubingwa Rasmi.
Naomba muwepo hadi mida ya mchezo, hamchelewagi kukimbia. cc: Fans wote wa Real na Atletico
hahaha...me ni mgemi mwalikwa kwenye game ya leo!
Real Madrid ina wachezaji wazuri na imara wakuziba hayo mapengo usijidanganye hao Atm kam sio makosa ya Bale wangepigwa tangu mechi ya 1 kule kwao Angekosekana mtu kama Ramos hapo sawa
Mapengo yatazibwa hivi;
Marcelo>> Fabio Coentrao
Benzema>> Chicharito
Modric>>James Rodriguez
Bale>> Isco
ndio.faida ya kua na Kikosi kipana;
1 Casilas
2 Carjaval
3 Coentrao
4 Varane
5 Ramos
6 Toni Kroos
7 Ronaldo
8 Lucas Silva/illara
9 Chicharito
10 James Rodriguez
11 Isco
Hahaha pengo lipi sasa......
Where are you haters !!!!!
Wengi huwa mashabiki wa mkopo, wana clubs wanazo-support premier huko. Utaskia tu, 'Mi Atleti ndio timu yangu ya Spain', TF is that?Haters wamekula kona, walikuwa wanataka kucheza ngoma sio yao sasa viroho vimeanza kuwadunda wanaona mafuriko yanakaribia nyumbani kwao ha ha ha.
Wengi huwa mashabiki wa mkopo, wana clubs wanazo-support premier huko. Utaskia tu, 'Mi Atleti ndio timu yangu ya Spain', TF is that?
Majeruhi na kufungiwa kwa baadhi ya wachezaji wa Real, itaufanya mchezo wa leo kuwa wa upande mmoja. Ikumbukwe Real itawakosa, Bale, Benzema, Modric na Marcelo.
Atletico Madrid, timu ya wananchi leo itaingia uwanjani na kwenda kutafuta Ushindi au hata sare ya magoli tuu ili kuweza kuingia Nusu Fainali ya Uefa.
Tukutane, saa 3:45 usiku pale Santiago Bernabeu, Mabingwa watetezi watakapovuliwa Ubingwa Rasmi.
Hahaha. Binafsi siitaki tena el clasico, labda tukutane final. Mi nawataka Juve for a payback, hawa jamaa walinipa machungu hatari mara mbili back in the '00s, hii tulivyokutana nao kwenye group stages sikuihesabia.Kuna wengine kama yule Aleyn na wenzake ni washabikia timu ya Catalunya, sasa hivi ugonjwa wa moyo umepanda maana Draw ya nusu fainali ni kesho. Walichongonga sasa wanaomba wapangiwe na Juventus. Mi nataka tupangiwe na wale wale nyambaf..