Mkuu inawezekana dogo si wathamani hiyo,,lakini kwa ufundi wa mpira dogo anajua aisee.
JF noma sana. Ina mpk waspaniola! Just a joke!Ndio hivyo na ninaona Dogo ana chance kubwa ya kuja madrid
ahahaha utabiri tu mkuu
Kweli mkuu hawa waarabu si wa mchezo, nadhani Barca hawana hamu nao kabisa kwa hii issue ya Neymar.Mkuu huwezi shindani na hizi oil clubs kwa pesa... Man city washavunja rekodi ya all time kutumia pesa nyingi katika dirisha moja la usajili... Hawa waarabu wanataka 'prestige' tu na hawajali kuhusu faida... Madrid yeye mpaka auze ndo asajili... Man city wanaleta vyombo tu
Achana na mbappe kituko ni kwamba ma gwiji wa uhamisho di marzio na mino raiola wameripoti kua PSG wako tayari kulipa release clause ya neymar ambayo ni €220M.. Hamna Ku bargain wala mini
Hizi oil clubs isingekua ffp kuwawekea mipaka ya kusajili wangewanunua Ronaldo na messi wote wakae benchi... Waarabu sio watu
Issue ya Yeymar nilijua utani tu jamaa kumbe wako seriously daaa najua after 5 years anaelekea eplKweli mkuu hawa waarabu si wa mchezo, nadhani Barca hawana hamu nao kabisa kwa hii issue ya Neymar.
Inawezekana maana after 5 yrs atakuwa kwenye 30s na hawataweza kumpa mega deal tena.Issue ya Yeymar nilijua utani tu jamaa kumbe wako seriously daaa najua after 5 years anaelekea epl