Madrid Na Man City Kuingia Vita Ya Dunia Kwa Mbappe Rekodi Yake Itachukua Miaka Mingi Kuvunjwa

Madrid Na Man City Kuingia Vita Ya Dunia Kwa Mbappe Rekodi Yake Itachukua Miaka Mingi Kuvunjwa

Mkuu huwezi shindani na hizi oil clubs kwa pesa... Man city washavunja rekodi ya all time kutumia pesa nyingi katika dirisha moja la usajili... Hawa waarabu wanataka 'prestige' tu na hawajali kuhusu faida... Madrid yeye mpaka auze ndo asajili... Man city wanaleta vyombo tu

Achana na mbappe kituko ni kwamba ma gwiji wa uhamisho di marzio na mino raiola wameripoti kua PSG wako tayari kulipa release clause ya neymar ambayo ni €220M.. Hamna Ku bargain wala mini

Hizi oil clubs isingekua ffp kuwawekea mipaka ya kusajili wangewanunua Ronaldo na messi wote wakae benchi... Waarabu sio watu
Kweli mkuu hawa waarabu si wa mchezo, nadhani Barca hawana hamu nao kabisa kwa hii issue ya Neymar.
 
Ivi kuna mchezaji ambae akitakiwa na real madrid na man city akachugue Man city?

Yani hawa Man City wasitegemee kitu kama icho
 
Neymar jr kishavunja rekodi tayari itachukua almost zaidi ya 10 years kuivunja
 
Issue ya Yeymar nilijua utani tu jamaa kumbe wako seriously daaa najua after 5 years anaelekea epl
Inawezekana maana after 5 yrs atakuwa kwenye 30s na hawataweza kumpa mega deal tena.
 
Back
Top Bottom