[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1] Mnawacheka Marumo kupigwa 4 na Yanga hawa Madrid vipi? Ukiingia kwenye mfumo wa timu bora haijalishi ukongwe wako watu wanakutandika tuuh. Madrid kapigwa 5 na timu bora kwasasa barani Ulaya.