​Kweli hii Tanzania nchi ambayo chombo muhimu kam baraza la mitihani la Taifa linaendeshwa kienyeji kiasi kwamba wametoa matokeo ya form two 2014 then after five days yakiwa tayar hewani wakaongeza gpa kwa watu kwa sababu zao,
Kwa hiyo kama uliangalia matokeo yalipotoka na sasa ukiangalia yapo tofauti mfano wote waliopata gpa ya 0.3 wameongezewa mpka 1.3