Madudu mengine ya NECTA

Madudu mengine ya NECTA

Chris Jr

New Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
3
Reaction score
0
​Kweli hii Tanzania nchi ambayo chombo muhimu kam baraza la mitihani la Taifa linaendeshwa kienyeji kiasi kwamba wametoa matokeo ya form two 2014 then after five days yakiwa tayar hewani wakaongeza gpa kwa watu kwa sababu zao,

Kwa hiyo kama uliangalia matokeo yalipotoka na sasa ukiangalia yapo tofauti mfano wote waliopata gpa ya 0.3 wameongezewa mpka 1.3
 
Huku mwanza kuna dogo alifanya somo moja tu kapata B kafahuru kwa GPA ya 0.3 sjui kaipate,kwel mwanafunz anapmwa kwa somo moja na kupas,elimu hii inaelekea wap ?
 
Ninavyofahamu mimi G.P.A below 2.0 maana yake umefeli. Cjaelewa imekuwaje mtu mwenye G.P.A ya 0.4 amefaulu
 
Matokeo ya mitihani kwa miaka hii ya karibuni mimi siyaelewi kabisaaaaaaaaaa.
 
Huku mwanza kuna dogo alifanya somo moja tu kapata B kafahuru kwa GPA ya 0.3 sjui kaipate,kwel mwanafunz anapmwa kwa somo moja na kupas,elimu hii inaelekea wap ?

Mkuu hiyo ni kweli??
 
Back
Top Bottom