ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hakuna uchaguzi hapo usanii tu, huyo demu kapata wadhamini wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepigwa zengwe la kutosha huyo demu kawekwa geresha tu ionekane democracy ilitumikaOscar Oscar, Ally Mayay kukosa wadhamini ni uzembe. Hao ni wadau wa mpira wanaojulikana Tanzania nzima wanakosaje halafu mmama yule hata hajulikani
huyo dada usimuite demu,ana CV sio haba. aliwahi kuwa DEDHakuna uchaguzi hapo usanii tu, huyo demu kapata wadhamini wapi?
Hebu tuachane na waliokosa wajumbe, hv sifa ya kuwa mjumbe ni ipi? Coz naona Kuna vinafasi vya kujipigia pesa kizembe sanaKimsingi hawajakosa wajumbe wakuwadhamini, issue ni kwamba wamekosa pesa za kuwahonga hao wajumbe ili wawashamini na hao wajumbe wameahajua hilo ndio chaka lao lakuvuna sasa wana tabia ya kumuangalia mgombea mzito ndio wanamdhamini, inshort wanaringa coz wanajua bila kupata udhamini wao huendi kokote utaenguliwa tu.
HawakujiandaaWamepigwa zengwe la kutosha huyo demu kawekwa geresha tu ionekane democracy ilitumika